Ogaranya
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 295
- 746
Kumbe ww ni mchuga duuh. Siku nikija ntashukia kwako. Nilizani unaishi dsm kumbe sio.Kweli ni kali. Karibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ww ni mchuga duuh. Siku nikija ntashukia kwako. Nilizani unaishi dsm kumbe sio.Kweli ni kali. Karibu.
kwanini usifikie kwangu unaenda kwa lishangaziKumbe ww ni mchuga duuh. Siku nikija ntashukia kwako. Nilizani unaishi dsm kumbe sio.
Uduguuuu kimepashwaa sio mchezooo, yaan acha kabisaaUduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kitawaka moto
😅😅😅, huyu demu napenda akili zake kwa kweli ukifuatilia post zake tu inatosha kukuaminisha sasa mi nataka kuona kama yaliyomo yamo. 😁😁😁kwanini usifikie kwangu unaenda kwa lishangazi
unataka malezi😆😅😅😅, huyu demu napenda akili zake kwa kweli ukifuatilia post zake tu inatosha kukuaminisha sasa mi nataka kuona kama yaliyomo yamo. 😁😁😁
. Ww kujuana jf na kf huku kunatosha kabisa
😅😅😅, wala hata kujuliana hali tu ndo muhimu. No moooreunataka malezi😆
arusha ndo wamejaa wake za watu wa EAC😂 na UN, mererani, NCAA😅😅😅, wala hata kujuliana hali tu ndo muhimu. No mooore
Malezi yapo huku mkuu unakutana na lishangazi. Mlimani city lina v8 ya 2022, mme wake kafa hela imo hajui aitumieje 😎😎😎😎.
Hapo ndo utaona dunia yako hii mishangazi ya jf mingi ni njaa njaa tu sasa mpaka mtu anaishi nyumba ya kupanga humo huyo unamuitaje shangazi huyo ni mbibi tena kokoo 😅😅😅😅.
Siku uje dar dogo uone wanawake wenye hela waliokosa dyudyu la kuwakuna vyedi 😁
Kuna juju, humo mke wa mtu sumu. Saivi na deal na wajane wenye hela. 😁😎arusha ndo wamejaa wake za watu wa EAC😂 na UN, mererani, NCAA
njoo dogo ule bata
kote rizki mzee😂Kuna juju, humo mke wa mtu sumu. Saivi na deal na wajane wenye hela. 😁😎
Hao wa EAC na UN si waume zao wanatembea na risasi sio?
Kuwa makini dogo. Wajane watamu bana 😬
Uduguuuu kimepashwaa sio mchezooo, yaan acha kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii baridi haitaki chaiJamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mimi nipo na series ya Citadel hapa karibuni[emoji8]
Uzi Murua kabisa,,, [emoji23][emoji23][emoji23]Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mimi nipo na series ya Citadel hapa karibuni[emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kuwezaaa, nimekanda na barafuuIpulize na feni [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kuwezaaa, nimekanda na barafuu
Karibu sana chuga😃Kumbe ww ni mchuga duuh. Siku nikija ntashukia kwako. Nilizani unaishi dsm kumbe sio.
Karibu sanaitabidi nikutembelee aisee😂
Unaishi sehemu gani rafiki. 😉😁Karibu sana chuga😃
😂😂😂Upo Russia 😊😊
nikufanyie mpango kitoa baridi
Jana jioni sijaoga 😀😀😀kama utani vile 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha
Mama weee si ungechemshaJana jioni sijaoga 😀😀😀kama utani vile 😀😀