Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Morogoro ni mkoa mzuri sana, fursa ni nyingi za pesa japo mzunguko ni mdogo sana wa pesa, na wakazi wa hapo wamezubazuba na wavivu sna.

Moro maji ni machafu, kama ni mtu unajali ngozi yako kuwa mweusi haipukiki.
Hebu tuzungumzie habari ya maji machafu kama ulivyosema, mara ya mwisho kuishi moro ilikuwa mwaka gani? Na uliishi maeneo gani

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
 
Ww nae si urudi tu. Wameshafuta intavyuu. Unafanya nini huko hadi saiv?
 
Dom ni balaa aise hasa maji yake yana chumvi sana na yanapausha ngozi balaa na kuifanya iwe kama umelabwa na fisi. Yani ngozi inakuwa inatoka kama nyoka vile afu inakuwa kavu balaa..
 
Hahahaha nimecheka sana mkuu unataka link nenda pale Malaika utakutana nao kibao ajabu ni wachafu lkn hizo bei zao sasa
 
Waambie Boss mi nimeishi mikoa mikoa mingi naona hali ya hewa Dom ni afadhali maana ni 50 50 ninaishi Dom panazoeleka vizuri tuu...!! Pia kijiografia unafika popote nchini Kwa siku Moja.
 
Hivi mkiongelea vumbi mlishawahi kuishi Kibondo na Kasulu mkoani Kigoma??? Acheni aisee...
 
Wew ni chizi, yaani Dodoma hiyo hiyo nayoifahamu unasema unanawiri! Mama nanii tu na weupe wake akikaa huko for one week anakuwa mweusi ti, sembuse wewe pangu pakavu
 
Wew ni chizi, yaani Dodoma hiyo hiyo nayoifahamu unasema unanawiri! Mama nanii tu na weupe wake akikaa huko for one week anakuwa mweusi ti, sembuse wewe pangu pakavu
Masikini hachagui hali ya hewa
 
Morogoro ni mkoa mzuri sana, fursa ni nyingi za pesa japo mzunguko ni mdogo sana wa pesa, na wakazi wa hapo wamezubazuba na wavivu sna.

Moro maji ni machafu, kama ni mtu unajali ngozi yako kuwa mweusi haipukiki.
Sio kweli,
 
Dah wewe jamaa una moyo safi sana,umemuachia demu kiwanja kiurahisi urahisi tu.
Watu kama nyinyi mpo wachache sana
 
Dodoma sihamiii. Sabuni tumia ya unga,mafuta paka ya cocoa butter body cream au lotion
 
Dar kama ni mgeni utapata tabu sana! Juzi Kati nilienda nikitoka Iringa kwenye baridi + upepo Sasa nilipanda lakini Ile shida niliyopata nilitamani kushuka nitembee kwa miguu! Yaani kubanana, joto kukanyagana hatari.
Hahaahaa acha tu. Ukitoka kwenye AC ukaingia kwenye hewa ya kawaida unaweza kuhisi mtu kakukaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…