kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Hebu tuzungumzie habari ya maji machafu kama ulivyosema, mara ya mwisho kuishi moro ilikuwa mwaka gani? Na uliishi maeneo ganiMorogoro ni mkoa mzuri sana, fursa ni nyingi za pesa japo mzunguko ni mdogo sana wa pesa, na wakazi wa hapo wamezubazuba na wavivu sna.
Moro maji ni machafu, kama ni mtu unajali ngozi yako kuwa mweusi haipukiki.
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app