Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Nilikuwa huko last month nilipata taabu sana, ila sehemu za kula bata zipo kila kona
 
Hata kwa Dar msimu wao wa baridi umechukua kipindi kirefu na imezidi kwa ukali......nafikiri ni athari za mabadiliko ya tabia nch

Kwa kigezo cha hali ya hewa Moro pako njema asee. Tena safi tu sema hawawezi kuhamia.
Moro pako vizuri sana, ile hali ya kuzungukwa na milima yenye misitu mikubwa inachangia
 
Makao makuu huko karibu na Milembe hospitali. Wanasiasa wote akili ya bata, huoni Samia Hakai huko, 80% of her time is in DSM or Zanzibar
 
Wanaume wa Dar kilakitu kina washinda, mwanaume rijali huwez sema hadharani upuuzi kama huo...
Wanaume sikuhiz mnalalamika kishoga shoga tu, wanawake wanawashinda, mnapenda maisha mepesi ndio maana mnashikishwa ukuta
 
Mhhhhh! Umeweka na ndimu aisee[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
 
Wakuu hebu punguzeni hasira dodoma ipo hivyo tangu enzi za mababu sasa kilichowapeleka huko ni nini alafu mnaanza kulalamikia nature😁😁

Mama afanyie waja wake wepesi kurudisha hela mifukoni stress ni nyingi sana kwa machalii wake nchini.

Alafu niwaambie nini, shukuruni mmerudi makwenu salama hamjafa kwa njaa, wala upotevu wa maji mwilini. Paka nyie.
 
Sio dodoma tu..inshort sis watoto wa daslam tuliozoea unyevu wa indian ocean huko mikoan tunapata tabu sana..ngoz inakua kama kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…