Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa huko last month nilipata taabu sana, ila sehemu za kula bata zipo kila konaBaridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi.. mnatumia sabuni na mafuta gani.. maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi..
Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Karibu Area DUko Kisasa Mkuu? Share codes za location PM nije weekend kukusabahi.
Hata kwa Dar msimu wao wa baridi umechukua kipindi kirefu na imezidi kwa ukali......nafikiri ni athari za mabadiliko ya tabia nch
Moro pako vizuri sana, ile hali ya kuzungukwa na milima yenye misitu mikubwa inachangiaKwa kigezo cha hali ya hewa Moro pako njema asee. Tena safi tu sema hawawezi kuhamia.
Makao makuu huko karibu na Milembe hospitali. Wanasiasa wote akili ya bata, huoni Samia Hakai huko, 80% of her time is in DSM or ZanzibarBaridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi.. mnatumia sabuni na mafuta gani.. maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi..
Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Kuku buku 14, 15, 16 Mzima na wa kienyeji. Sasa ukitoka pale ukikutana na pisi zao ndio unaona bora uguse ngozi ya kuku tu. Dodoma pa kisenge sana.
Mhhhhh! Umeweka na ndimu aisee[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]Nilikutana na demu mmoja kipindi cha nyuma!tena bus terminal pale arusha nilimuona tuu nikamfeel na ule uarabu wake wa kuchovya!!
Niliongea nae nikaona kaniamini tuu!!
Labda kwa jinsi y uonekano wangu.
Nikachukua namba yake wakati namshusha olasiti huko kwa shangazi yake!!
Nilizoeana nae sana ikawa namfata pale kwa shangazi yake namtoa out kwa gia ya kumuonyesha mji..
Nikawa najilia sana yule mtoto!!
Akarudi huko dodoma...
Akanipa mwaliko nikaenda.
Ptuuuuu...
Yaani ule mji ulinikinai hatari kwa ile hali ya hewa!
Msela kila siku naaga niondoke ila mtoto analalamika niendelee kubaki baki..
Alichoniuzi ni kwamba alinishawishi sana kwamba hapo dodoma baadae serikali itahamishiwa hapo hvyo kuna viwanja ninunue!
Kweli nilinunua kiwanja bei rahisi sana!
Akawa anashughulikia yeye hicho kiwanja mambo ya kukatia hati na mengineyo!!
Mwisho nilimuachia kile kiwanja kiwe chake!
Yule demu angekubali kuja kuishi nilipo ningemuoa!!
Lakini hakutaka kuondoka dodoma kbs nikapiga chini
Kwan alikuwa anaongelea vitu vinavyoondoa vumbi?Zabibu au bunge ndio vinaondoa vumbi au ukame
Umeongea mkuu, watoto wa dalesamam ni mayai mayai sana. Yaani shida kidogo tu wanalia sijapata kuona.Sio dodoma tu..inshort sis watoto wa daslam tuliozoea unyevu wa indian ocean huko mikoan tunapata tabu sana..ngoz inakua kama kenge
Nakuja kisasa shely apo.Karibu sana kisasa,.