Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

Mtaa wenyewe unaitwa shauri moyo, ukiwa osterbay ngarenaro unaingia ndani ndani hukoo.
Kuna bar inauza pombe za kienyeji na za kawaida ipo mitaa hiyo. Huko utakuta madadapoa wa bei chini sana.. mwaka 2012 nakumbuka bei elekezi ilikuwa Tsh 2000 kwa bao. Ila kutokana na Covid19 na hivi vita vya Ukraine huenda bei imeongezeka zaidi.
 
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia ukifika ndani ya jiji hilo ni shida tupu.

Biashara ndani ya jiji hilo ni ngumu sana, watu wanafanya biashara kwa kujuana sana. Kiufupi mzunguko ni mdogo sana si soko la kilombero wala soko kuu.

Ukipita mitaa ya makao mapya utakuta nyumba self contained ya vyumba 3 shs 150,000/= na wanataka kodi ya hata mwezi. Ukienda huko ngarenaro mitaa ya shauri moyo unakuta wali wa kuku 1000.

Mbaya zaidi hili jiji mitaa mingi ni michafu sana kama sekei, sombetini, mbauda na huko mianzini. Biashara kubwa katika hili jiji ni biashara ya shule, biashara ya nyama aina zote na biashara ya bia.

Japo wanachuga hupenda kulitetea hili jiji, ila kiuhalia arusha ilipaswa kuwa mji kama miji mingine. Yaani saivi hata kahama kuna mzunguko wa hela kuliko arusha.

Hili ndio jiji ambalo matajiri wake wote hawapo top 100 ya matajiri Tanzania.

Hili pia ndio jiji linaloongoza kwa kuvaa mitumba wazee wa krokon na memorio.

Hili ndio jiji ambalo wakazi wake wengi ni lialia wakija kwenye biashara yako watataka uwapunguzie hata kitu cha mia.

Hili ndilo jiji ambalo ukikaa mwaka mmoja unaweza wafahamu wakazi wote wa hapo. Hapo utapata picha udogo wa jiji.

Imagine jiji uwanja wa ndege hauna taa za kuongozea ndege usiku.
View attachment 3004742
Acha uongo wako ,hakuna kipindi Arusha inakimbia kimaendeleo na kiuchumi kama Sasa hivi.

Ukishuoa wewe usidhani ni wote
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makonda ataliinua ki uchumi hilo jiji , Shida Watu wa Arusha wamejaa Dar es salaam wametelekeza mji wao , Mchaga wa Arusha utamkuta kajenga bonge la nyumba Goba ila Arusha anakiwanja kina Msingi kwa miaka kumi mfululizo akiambiwa auze anakuuliza kabila lako kwanza.
Hakunaga mchaga wa Arusha.
 
Back
Top Bottom