Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

Hili la kujuana usilipinge ,kwanza ukiwa kule baada ya salaamu kinachofuata ni AISEE WEWE NI MTU WA WAPI?
Hakuna mchaga anayenunua duka la chasaka ama asiye mchaga wewe usitake kudanganya watu.
Wale wa mama wa soko kuu mfano wa Kanda ya ziwa wanachangiwa na wateja wa Kanda ya ziwa , wa huko wananunua kwa wauzaji wa huko huko.
Arusha naipenda weather Ila sio mji kirafiki una ukabila Kama miji ya Kenya.
Mana Arusha wachaga ni wengi ndio wameshikilia nguvu kuu za kiuchumi.

Binafsi nilitaka kuweka empire huko nikawaza mji wangu wa Mwanza na wasukuma walivyo wakarimu hawabagui jamani nikaona Bora niishi Mwanza.

Hili la ubaguzi naweza nikatoa hela tukafanya research kwa wafanya biashara wa Kanda zingine walioko huko.

Kuna mmama mmoja mhaya nilimuuliza kitu ichi akaniambia nikinunua dukani.kwake deto.

Arusha ni wanajifanya wajuaji Kama wameru na waarusha.yaani Yale meno ya kashata za karanga wao wanaona Kama ni gold wamebeba mdomoni.

Ubaguzi upo hapa nitakupinga Kama vipi tutaingia field tufanye sample hata maduka mia moja tulete mean ,range, standard deviation, variance Mana number don't lie
😀 😀 😀Arusha ni wabaguzi ndio tatizo , mikoani wanaishi vizuri ndio maana unakuta mchaga wa kaskazini ni mbunge huku kibaha na anaishi vizuri sasa wewe nenda kwao uone kasheshe.
Mapto ya utalii na madini hayamfikii mwanachi wa chini hata hotels zile target ni watalii sio wezi hawa wadudu.
 
Wajinga sana halafu wanajifanya wajanja na meno yao machafu na rafudhi zao mbovu.
Kuna jamaa tulisoma nae wa huko alihamishwa kimchongo baada ya kufeli la saba , alikuwa anatumia jina sio lake . Jamaa alikuwa mbaguzi sana baadae alikuwa HP shule yetu , tulimfanyia mengi mazuri kama mgeni ila ubinafsi kiwango cha juu .

Sitamsahau alikuja na midosho ya mitumba , tukampa nguo baadhi maana alikuwa anadai hao ndugu zake alipofikia walikuwa eti wanamnyima chakula , pesa hapewi ....Kipind cha Ramadhni alikuwa anafuturu kweny nyumba za wadigo ila alikuja kuongea dharau acha ....

Nilitemana nae kitambo sana kwa ushamba wake.
 
Mji unalindwa na wadudu unategemea nini? 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C7rvI5Gu3Cx/?igsh=Zmxoc2t3OWJnZTlo
 
We
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia ukifika ndani ya jiji hilo ni shida tupu.

Biashara ndani ya jiji hilo ni ngumu sana, watu wanafanya biashara kwa kujuana sana. Kiufupi mzunguko ni mdogo sana si soko la kilombero wala soko kuu.
Ukipita mitaa ya makao mapya utakuta nyumba self contained ya vyumba 3 shs 150,000/= na wanataka kodi ya hata mwezi. Ukienda huko ngarenaro mitaa ya shauri moyo unakuta wali wa kuku 1000.
Mbaya zaidi hili jiji mitaa mingi ni michafu sana kama sekei, sombetini, mbauda na huko mianzini. Biashara kubwa katika hili jiji ni biashara ya shule, biashara ya nyama aina zote na biashara ya bia.
Japo wanachuga hupenda kulitetea hili jiji, ila kiuhalia arusha ilipaswa kuwa mji kama miji mingine. Yaani saivi hata kahama kuna mzunguko wa hela kuliko arusha.
Hili ndio jiji ambalo matajiri wake wote hawapo top 100 ya matajiri Tanzania.
Hili pia ndio jiji linaloongoza kwa kuvaa mitumba wazee wa krokon na memorio.
Hili ndio jiji ambalo wakazi wake wengi ni lialia wakija kwenye biashara yako watataka uwapunguzie hata kitu cha mia.
Hili ndilo jiji ambalo ukikaa mwaka mmoja unaweza wafahamu wakazi wote wa hapo. Hapo utapata picha udogo wa jiji.
Imagine jiji uwanja wa ndege hauna taa za kuongozea ndege usiku. View attachment 3004742
We una uvundo nenda kaharishe. Mshamba km ww huwezi kuijua jiji km Arusha. We bwege kaishi huko kajamba nani
 
😀 😀 😀Arusha ni wabaguzi ndio tatizo , mikoani wanaishi vizuri ndio maana unakuta mchaga wa kaskazini ni mbunge huku kibaha na anaishi vizuri sasa wewe nenda kwao uone kasheshe.
Mapto ya utalii na madini hayamfikii mwanachi wa chini hata hotels zile target ni watalii sio wezi hawa wadudu.
Wanabisha tu. Yaani watu wakishawajua nadhani watapata shida mno.
Mfano Kuna story nilipewa pale Tarime mjini kulikuwa na mmoja ana mgahawa Sasa bana wale wakurya wao walikuwa wanaingia kwa huyo manka/mangi kula msosi Mana mkurya sio mbaguzi.
Kuna siku walikaa Kama akili ikawaijia wakajiuliza kuwa mbona Hawa wachaga wa hapa mjini hawajawahi kwenda kula migahawa inayomilikiwa na wenyeji kwa Mana ya wakurya.
Sasa bana na wao wakafanya ukweli wakawa hawaendi kwa Yule mbaguzi kula chakula ,mbona alifunga biashara akaondoka.

Yaani huwa wanawakamata wengi wasiowajua Ila Hawa jamaa hela yao wanajua kuipeleka kwao tu Ila kwa chasaka wanaona wanapeleka chakula kichakani Fulani ama msituni ama kwa mnyama.

Mchaga mwenyewe anakuambia kuwa watanzania wote tunafanana Ila kasoro wao tu,

Wangeenda Kenya wakabagueni vizuri tungechukua bandari ya Mombasa tu.
Nyerere alibugi Fulani Mana Wana vimelea vya kikenya
 
Wacha wivu,AICC tuu hapo Iko full booked Kwa mikutano,value chain yake inawakuta wengi sana.

Mama amefungua Nchi,badala ya kulia lia ujinga jikite kwenye biashara ambayo Iko related na Utalii na mikutano 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C7rwyY_tI26/?igsh=ZGRjem9yNHN6M3hy

Nilifikiri utataja viwanda kama 30 hivi kumbe kelele zote ni mkutano
Kwani ng'ombe haiingizii mapato Arusha? Au unadhani mifugo ni matusi mpaka povu likutoke
Arusha ni jiji lakini mkoa una wafugaji ni uongo?
 
😀 😀 😀Arusha ni wabaguzi ndio tatizo , mikoani wanaishi vizuri ndio maana unakuta mchaga wa kaskazini ni mbunge huku kibaha na anaishi vizuri sasa wewe nenda kwao uone kasheshe.
Mapto ya utalii na madini hayamfikii mwanachi wa chini hata hotels zile target ni watalii sio wezi hawa wadudu.
Hilo wanalikataa kinoma ila nenda Moshi tu hapo utashuhudia vibweka. Huku Dar wanajua wakileta ujinga wanapigwa tunguli chap na wazaramo so discpline inakuwepo.

Mchaga akiwa Dar hawez leta ujuaji wanakuwa wanabadilika kulingana na mfumo uliopo huku mjini ila wale ambao wanasalia makwao ni wabaguzi haswa. Biashara za kujuana juana.
 
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia ukifika ndani ya jiji hilo ni shida tupu.

Biashara ndani ya jiji hilo ni ngumu sana, watu wanafanya biashara kwa kujuana sana. Kiufupi mzunguko ni mdogo sana si soko la kilombero wala soko kuu.
Ukipita mitaa ya makao mapya utakuta nyumba self contained ya vyumba 3 shs 150,000/= na wanataka kodi ya hata mwezi. Ukienda huko ngarenaro mitaa ya shauri moyo unakuta wali wa kuku 1000.
Mbaya zaidi hili jiji mitaa mingi ni michafu sana kama sekei, sombetini, mbauda na huko mianzini. Biashara kubwa katika hili jiji ni biashara ya shule, biashara ya nyama aina zote na biashara ya bia.
Japo wanachuga hupenda kulitetea hili jiji, ila kiuhalia arusha ilipaswa kuwa mji kama miji mingine. Yaani saivi hata kahama kuna mzunguko wa hela kuliko arusha.
Hili ndio jiji ambalo matajiri wake wote hawapo top 100 ya matajiri Tanzania.
Hili pia ndio jiji linaloongoza kwa kuvaa mitumba wazee wa krokon na memorio.
Hili ndio jiji ambalo wakazi wake wengi ni lialia wakija kwenye biashara yako watataka uwapunguzie hata kitu cha mia.
Hili ndilo jiji ambalo ukikaa mwaka mmoja unaweza wafahamu wakazi wote wa hapo. Hapo utapata picha udogo wa jiji.
Imagine jiji uwanja wa ndege hauna taa za kuongozea ndege usiku. View attachment 3004742
We lofa Arusha unaijua kwl, umeshafika au ni chuki zako zilizojaa wivu? Arusha ndio mji wenye ustaarabu wa hali ya juu sn nchi. Ndio jiji la pili kimapato baada ya Dsm. Arusha ht harufu ya ukabila huwezi sikia. Arusha ndio ina mahoteli mengi kuliko ht Dsm. Uwanja wa ndege wa Arusha una miruko ya ndege zaidi ya 150 kwa siku. Una sehemu za starehe kuliko ht Dsm. Barabara za jiji la Arusha zaidi ya 90% ni lami. Hakuna uchafu kwa kiwango unasema we mzushi. Huo uchafu uko mitaa ipi ndani ya jiji? Acha husda, uzushi, upotoshaji, chuki ndani ya nchi ile ile moja, wivu wa kike. Arusha ni Geneva ya Afrika, umaarufu wake ni wa dunia nzima, acha wivu na chuki za kipumbavu
 
Moshi naku-support ndio maana ule mji umedoda una wakazi 221,000 mpk leo ukiziwa na miji ya juzi tu km Geita n.k. Wachaga ni wabinafsi mno na wabaguzi. Arusha hawana ubavu ndio maana uongozi wa kisiasa kuupata ni vigumu.
 
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia ukifika ndani ya jiji hilo ni shida tupu.

Biashara ndani ya jiji hilo ni ngumu sana, watu wanafanya biashara kwa kujuana sana. Kiufupi mzunguko ni mdogo sana si soko la kilombero wala soko kuu.
Ukipita mitaa ya makao mapya utakuta nyumba self contained ya vyumba 3 shs 150,000/= na wanataka kodi ya hata mwezi. Ukienda huko ngarenaro mitaa ya shauri moyo unakuta wali wa kuku 1000.
Mbaya zaidi hili jiji mitaa mingi ni michafu sana kama sekei, sombetini, mbauda na huko mianzini. Biashara kubwa katika hili jiji ni biashara ya shule, biashara ya nyama aina zote na biashara ya bia.
Japo wanachuga hupenda kulitetea hili jiji, ila kiuhalia arusha ilipaswa kuwa mji kama miji mingine. Yaani saivi hata kahama kuna mzunguko wa hela kuliko arusha.
Hili ndio jiji ambalo matajiri wake wote hawapo top 100 ya matajiri Tanzania.
Hili pia ndio jiji linaloongoza kwa kuvaa mitumba wazee wa krokon na memorio.
Hili ndio jiji ambalo wakazi wake wengi ni lialia wakija kwenye biashara yako watataka uwapunguzie hata kitu cha mia.
Hili ndilo jiji ambalo ukikaa mwaka mmoja unaweza wafahamu wakazi wote wa hapo. Hapo utapata picha udogo wa jiji.
Imagine jiji uwanja wa ndege hauna taa za kuongozea ndege usiku. View attachment 3004742
Ni wewe tu mkuu Arusha hela zake sio chee kama miji mingine, uwe mpiganaji na mwenye akili nzuri za kibiashara, Arusha ni mahali pa kuwa tajiri. Ukija Arusha unategemea mzizi na ndagu hutaweza. Ona mapato ya Arusha ukilinganisha ni hiyo Kahama unayosema.

Kwa mujibu wa kiambata Cha Bajeti ya Tamisemi,Zifuatazo ndio Wilaya na Miji/Majiji 60 yenye Mapato ya Ndani makubwa zaidi yanayoanzia Tsh.4.0 Bilions na kuendelea Kwa takwimu za mwaka wa Fedha 202/2023.

1.Dar CC =240.8
2.Dodoma CC=44.46
3.Arusha CC=32.9
4.Mwanza CC =32
5.Mbeya CC=18.65
6.Tanga CC=17.9
7.Morogoro MC=13.4
8.Chalinze DC=13.2
9.Tunduma TC=12.8
10.Geita TC=12.4
11.Mkuranga DC=10.4
12.Kahama MC=10.0
13.Tanganyika DC=9.5
14.Tarime DC=8.5
15.Njombe TC=8.2
16.Muleba DC=7.1
17.Moshi MC=6.73
18.Mbinga DC=6.7
19.Mbarali DC=6.79
20.Songea MC=6.4
21.Kilwa DC=6.39
22.Geita DC=6.31
23.Morogoro DC=6.27
24.Rungwe DC=6.22
25.Misenyi DC=5.8
26.Tabora MC=5.74
27.Mafinga TC=5.73
28.Mufindi DC=5.65
29.Kilosa DC=5.6
30.Chunya DC=5.54
31.Kyela DC=5.48
32.Singida MC=5.38
33.Msalala DC=5.38
34.Kibaha TC=5.32
35.Iringa MC=5.31
36.Bagamoyo DC=5.3
37.Shinyanga MC=5.25
38.Rufiji DC=5.24
39.Mbozi DC=5.14
40.Arusha DC=5.0
41.Kaliua DC=4.93
42.Karatu DC=4.92
43.Mbeya DC=4.7
44.Mlimba DC=4.50
45.Serengeti DC=4.48
46.Hanang' DC=4.48
47.Wanging'ombe=4.46
48.Kyerwa DC=4.44
49.Rombo DC=4.42
50.Ruangwa DC=4.36
51.Tunduru DC=4.34
52.Ngara DC=4.34
53.Kongwa DC=4.29
54.Ifakara TC=4.26
55.Karagwe DC=4.24
56.Nachingwe DC=4.21
57.Kilolo DC=4.17
58.Mtwara MC=4.16
59.Masasi DC=4.12
60.Iringa DC=4.0
 
We lofa Arusha unaijua kwl, umeshafika au ni chuki zako zilizojaa wivu? Arusha ndio mji wenye ustaarabu wa hali ya juu sn nchi. Ndio jiji la pili kimapato baada ya Dsm. Arusha ht harufu ya ukabila huwezi sikia. Arusha ndio ina mahoteli mengi kuliko ht Dsm. Uwanja wa ndege wa Arusha una miruko ya ndege zaidi ya 150 kwa siku. Una sehemu za starehe kuliko ht Dsm. Barabara za jiji la Arusha zaidi ya 90% ni lami. Hakuna uchafu kwa kiwango unasema we mzushi. Huo uchafu uko mitaa ipi ndani ya jiji? Acha husda, uzushi, upotoshaji, chuki ndani ya nchi ile ile moja, wivu wa kike. Arusha ni Geneva ya Afrika, umaarufu wake ni wa dunia nzima, acha wivu na chuki za kipumbavu
mhh geneva ya wadudu
 
Back
Top Bottom