KERO Hali ya kuvuka Kigamboni si shwari, tunalazimika kuvuka kwa mitumbwi

KERO Hali ya kuvuka Kigamboni si shwari, tunalazimika kuvuka kwa mitumbwi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako.

IMG_1925.jpeg
 
Ooh kumbe vinahitirafu. Dah. Poleni sana
Mimi sipo kigamboni ila nishawahi kupanda vivuko ivyo na hawatoi hata elimu yakutumia life jacket vinaendeshwa kienyeji enjyeji hata watu wengi hawajui kutumia maboya hayo na inabidi wawe wanatoa annoucement ya safety ukiwa kabla haujapanda with video. Action
 
Back
Top Bottom