Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamtafute muhusika mkuu sijui atakuwa kijiwe gani leo anakunywa kahawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamtafute muhusika mkuu sijui atakuwa kijiwe gani leo anakunywa kahawa.
Mungu wa Tanzania hapendi kusikia habari hizo. Anapenda kusikia tumekuwa dona kantreKuna wale waliokuwa wanaripoti migogoro ya wakulima na wafugaji wakapigwa marufuku, sasa watu wa media wanaogopa kuripoti habari za maafa kama hizo kisa jamaa hazipendi, yeye anapenda chini ya utawala wake pasiwe na janga lolote, sijui anadhani yeye mungu!
Hata hii Corona ingekuwa ni ya Tanzania pekee angepiga marufuku media zisiripoti, sijui ni mtu wa aina gani.

Ukimya wa vyombo vya habari ninauelewa. Wanaogopa panga la MsemajiMkuuWaSerikali Dr Hassan. Last week tumeshudia Mwananchi Newspapers wakiwafuta kazi Neville Meena na Khalfani Said kwa vile walitoa maoni yasiyoipendeza Serikali kwenye kurasa zao binafsi za www.twitter.com.
Hao wananchi washauriwe wahamie Dodoma. Dodoma kuna makazi bei chee na ardhi nzuri ya kilimo. Waache kung'ang'ania huko kwenye mamba na vyuraKuna mtu Leo alikua ananihadithia kwamba mafuriko yamefanya mamba wawe hata kwenye mikondo ya maji iliyomitaani. Ni hatari sana kwa maeneo maeneo hayo maana hata makazi ya watu yamezingilwa maji
Huyu ni mhusika wa mvua au!Wamtafute muhusika mkuu sijui atakuwa kijiwe gani leo anakunywa kahawa.
Huyu mhusika wa mvua auWamtafute muhusika mkuu sijui atakuwa kijiwe gani leo anakunywa kahawa.
Wamtafute muhusika mkuu sijui atakuwa kijiwe gani leo anakunywa kahawa.
Nilipita hapo kutoka songea tarehe 10 mwezi huu...ukweli nashangaa sana serikali kupuuzia na sijaona msaada wowotekutolewa ingelikua kanda ya ziwa basi fasta majibu tungeyaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huko ni mojawapo ya ngome za CCM.Halafu kuna baadhi yao wataipigia kura ccm...
Very good sana
Walipokuwa wanaficha magaidi walifikiri nini?Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.View attachment 1403256