Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Watanzania waoga sanaWafe tuu Sasa wakisema ndio watapona
Ujinga wao na uoga wao ndio kiini Cha tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania waoga sanaWafe tuu Sasa wakisema ndio watapona
Ujinga wao na uoga wao ndio kiini Cha tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante JF Internet doesn't lie. Nilisema hii kitu hapa kuwa hakuna EIA ambayo ni comprehensive, Magufuli alifanya kidikteta tu.Mradi wa Nyerere Gorge Hydropower Plant umeanza kwa kukurupuka bila Environmental Impact Assessment na hata Feasibility Studies was not comprehensively done and these are the low lying fruits za ukaidi wa Rais Magufuli alisema studies zinachalewesha!
Kutoka 2020 ,sahvi 2024Asante JF Internet doesn't lie. Nilisema hii kitu hapa kuwa hakuna EIA ambayo ni comprehensive, Magufuli alifanya kidikteta tu.
Hali mwaka huu ni mbaya kuliko. Basically hao wakazi wa Rufiji walipaswa wawe relocated na resettled kama Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Msomela Handeni kwa gharama za Serikali.
.Asante JF Internet doesn't lie. Nilisema hii kitu hapa kuwa hakuna EIA ambayo ni comprehensive, Magufuli alifanya kidikteta tu.
Hali mwaka huu ni mbaya kuliko. Basically hao wakazi wa Rufiji walipaswa wawe relocated na resettled kama Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Msomela Handeni kwa gharama za Serikali.
Sasa hapo ndiyo tunahitaji investigative journalists ambao watachuguza hali ya kabla na kulinganisha na hali baada ya mradi kumalizikaSijaelewa. Mafuriko ya kabla ya mradi na ya sasa yana tofauti gani? Kiukubwa,kimadhara.
Au ni KWA vile tuliambiwa mradi utatatua tatizo?