Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa

Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa

Mradi wa Nyerere Gorge Hydropower Plant umeanza kwa kukurupuka bila Environmental Impact Assessment na hata Feasibility Studies was not comprehensively done and these are the low lying fruits za ukaidi wa Rais Magufuli alisema studies zinachalewesha!
Anhaaaa...! Kumbe...! Ndomana vyombo vya habari vimepiga kimya kuhusu tukio hili...!! Ni kwasababu linahusiana na "site" ya mradi...!!
 
Mradi wa Nyerere Gorge Hydropower Plant umeanza kwa kukurupuka bila Environmental Impact Assessment na hata Feasibility Studies was not comprehensively done and these are the low lying fruits za ukaidi wa Rais Magufuli alisema studies zinachalewesha!
Inawezekana chanzo cha haya mafuriko ni uharibifu wa mazingira sababu ya huu mradi?
 
Pengine watawala wanahisi huko ni himaya ya Bernard C. Membe... Au huyo mbunge ana misimamo ya kupinga juhudi za #Mataga?? Siyo kwa kunyamaza huko!!
Majuzi tu kidaraja kilikatika huko Morogoro; tulishuhudia misafara na matamko ya wakuu wa serikali kutatua changamoto hiyo kwa haraka sana!
 
Bishweko hivi akili zako unazitumia kufanya nini ikiwa suala kama hili huwezi kulichambua ilivyo?
Kwani huko mboga mboga kuna wenye akili basi, wana kiduchu tu za kulengea tundu la choo.
1572191514899.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo liko kwako...yaani unataka kuifitinisha Serikali ya awamu ya tano na wananchi.Pesa zipo nyingi mbona
Kwa hiyo unaamini hili suala la Rufiji linaweza kumalizwa na Kamati ya Maafa ya Mkoa. Nakuhakikishia majukumu ya Kamati ya Maafa ya Mkoa yatakuwa ni sehemu ya Kamati ya Usalama. Hawa wanajadili na kusimamia utekelezaji ila hawana Bajeti.

Bajeti iko kwenye Kamati ya Maafa ya Taifa ambayo iko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Lakini nahofu kwa Awamu hii hata Waziri Mkuu anaweza akawa na makaratasi tu lakini fedha halisi hazipo.
 
Kwa hiyo unaamini hili suala la Rufiji linaweza kumalizwa na Kamati ya Maafa ya Mkoa. Nakuhakikishia majukumu ya Kamati ya Maafa ya Mkoa yatakuwa ni sehemu ya Kamati ya Usalama. Hawa wanajadili na kusimamia utekelezaji ila hawana Bajeti.

Bajeti iko kwenye Kamati ya Maafa ya Taifa ambayo iko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Lakini nahofu kwa Awamu hii hata Waziri Mkuu anaweza akawa na makaratasi tu lakini fedha halisi hazipo.
Pesa zipo sana sema watu wa huko weshindwa kuziomba na kuzitumia..Yaani tuwe na madege,SGR na Bwawa kubwa la umeme alafu eti hamna pesa.Usiifitinishe Serikali na wanyonge
 
March 23, 2020

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You


source : Duc C. Vuong

More info :
BACKGROUND
Community transmission of coronavirus 2019 (Covid-19) was detected in the state of Washington in February 2020.

METHODS
We identified patients from nine Seattle-area hospitals who were admitted to the intensive care unit (ICU) with confirmed infection with severe acute respiratory syndrome coronavirus-2 (SARS-CoV-2). Clinical data were obtained through review of medical records. The data reported here are those available through March 23, 2020. Each patient had at least 14 days of follow-up.

RESULTS
We identified 24 patients with confirmed Covid-19. The mean (±SD) age of the patients was 64±18 years, 63% were men, and symptoms began 7±4 days before admission. The most common symptoms were cough and shortness of breath; 50% of patients had fever on admission, and 58% had diabetes mellitus. All the patients were admitted for hypoxemic respiratory failure; 75% (18 patients) needed mechanical ventilation. Most of the patients (17) also had hypotension and needed vasopressors. No patient tested positive for influenza A, influenza B, or other respiratory viruses. Half the patients (12) died between ICU day 1 and day 18, including 4 patients who had a do-not-resuscitate order on admission. Of the 12 surviving patients, 5 were discharged home, 4 were discharged from the ICU but remained in the hospital, and 3 continued to receive mechanical ventilation in the ICU.

CONCLUSIONS
During the first 3 weeks of the Covid-19 outbreak in the Seattle area, the most common reasons for admission to the ICU were hypoxemic respiratory failure leading to mechanical ventilation, hypotension requiring vasopressor treatment, or both. Mortality among these critically ill patients was high. (Funded by the National Institutes of Health.)
Source : https://www.nejm.org/doi/full/10.1056/NEJMoa2004500
 
Yale ma doza na ma Excavator si yamefunikwa na maji?
 
Tumefika mahali watu wanaogopa kusema ukweli kwa kuwa eti ni kuidhalilisha Tanzania. Kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha alivyo mkaripia yule aliyepiga picha za barabara mbovu Ngorongoro
 
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.View attachment 1403256
Wafe tuu Sasa wakisema ndio watapona

Ujinga wao na uoga wao ndio kiini Cha tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom