share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
- Thread starter
- #101
Yaani ukikenua meno tu unapigwa mzinga. Kula mzigo ni juu yako lakini elfu walau 10 umpe. Taifa la kudanga.Mimi kwa siku napangua mizinga (vibomu ) vya kuombwa hela na wadada zaidi ya 6 wengine hata sio wapenz wangu ila bas tu ukionesha kumzoea anaomba hela. Kunasiku nlikua naandika nikakuta mpaka jioni inasoma 350,000 za kuombwa tu huyu kaomba 15, huyu kaomba 30, yule 20 in total ilisoma 350 nikasema what if ningetoa? Na kesho unaamka na request zingine . Maisha yamekaza sana