Wenzetu, kwenye mambo ya msingi, wote wanaungana. Na wanaungana katika ukweli, siyo kwenye ushabiki.Lakini kwenye mfumo wa kibepari hakuna anaelala njaa.
Ulaya kula sio ishu.
Ni uhakika sababu kwenye ubepari ajira tele
Mapori still yapo mengi tza hatuna tatizo la overpopulation,watu waendelee kuzaa tu.ukitoka tu kibaha kilometer 3 nje ni mapori tupu.Wenzetu, kwenye mambo ya msingi, wote wanaungana. Na wanaungana katika ukweli, siyo kwenye ushabiki.
Fikiria Tanzania ni kati ya nchi 5 DUNIANI katika kuzaliana. Wanadanganywa waendelee kufyatua watoto, wanashangilia, bila ya kujiuliza wana uwezo wa kujilisha, kuwasomesha, kuwatibu na kuwavisha? Ushabiki, hata kwenye mambo ya kijinga, unatuumiza Watanzania.
Hata bei za chakula zingekuwa chini, bado baadhi ya familia zitaendelea kuwa duni kutokana na ukubwa wa familia usioendana na kipato. Na kibaya zaidi, maskini ndio wanaoongoza kuzaliana kuliko wale walio na kipato.
Fikiria nchi ambayo watoto (ambao siyo wazalishaji), ni wengi maradufu ya watu wazima (wazalishaji). Kwa kuwa wazalushaji ni wachache sana, hata kunapotokea tatizo la inflation kama ilivyo sasa, uwezo wa Serikali hata kutoa ruzuku, unakuwa haupo kwa sababu na kuwa na watu wengi wasioendana na uzalishaji. Kama spidi ya kuzaliana, itaendelea kama ilivyo sasa, hakuna siku hata moja familia zote zitakuja kuwa na maisha bora.
Hakuna kilicho na hasara kikakosa faida. Huo ugumu wa maisha unaotajwa iwe ni wakeup call, kuwa tunatakiwa:Ukiona hali inazidi kuwa mbaya, tazama mahitaji ya familia yako, ili uone yale yasiyoyalazima uyaondoe.
Mahitaji mengine huwa tunayaendekeza kwa sababu za kimazoea tu, kama vitafunwa asubuhi, muhimu washibe asubuhi, watashiba nini na vipi, jiongeze baba wa familia kwa kushirikiana mawazo na mama yao, wanawake wengi huwa wako vizuri kwenye budget.
Muache Samia apambane kwenye ngazi ya taifa, wewe pambana na mwenzio kwenye ngazi ya familia.
Fursa ni kweli zipo lakini hutakiwi kuukana ukweli kuwa wategemezi wakiwa wengi kupindukia, uwezo wako wa kutengeneza ukuaji wa mitaji na akiba, unadidimizwa.Mapori still yapo mengi tza hatuna tatizo la overpopulation,watu waendelee kuzaa tu.ukitoka tu kibaha kilometer 3 nje ni mapori tupu.
Tuache kukaa mijini,fursa zipo maporini huko
Tatizo jingine, vijana wengi wanachukulia kuishi mjini, hata kama analala kwenye veranda za maduka ya watu, hana chakula; wanaona ni fashion, na wanaamini wamepiga hatua ya maendeleo.Nimesoma mawazo ya wachangiaji wengi ni watu wa mjini wenye kipato Cha chini kwanza niseme huku kijijini nikiacha elfu tano inatosha kwasababu vitu vingi tunavyo shambani kuhusu bei ya mazao naona ipande zaidi ya hapo wakulima tuishi vizuri wenginine mlitakiwa kuishi vijijini kuliko kukaa mjini kwa kipato Cha laki tano
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tuandamane kuelekea mashambani tukafanye uzalishaji.Tuandamane.
Lakini kwenye mfumo wa kibepari hakuna anaelala njaa.
Ulaya kula sio ishu.
Ni uhakika sababu kwenye ubepari ajira tele
Hii ni hatari sanaHapo Kuna cost tele hujaeka
Mchele 1kg 3500
Unga nusu 1000 mchana
Mboga walai 2000
Nyanya 500
Kitunguu 100
Mafuta 500
Mkaa 1000
Sukari 400
Maji 500
Umeme 700
Vifafunwana 1000
Nauli ya watu 4 @4000
Beki tTu 3000 per day
Matunda wanahimi,a tule 2000
Buku ya mwalimu 1000
Mboga join 4000
Pango 3000 per day
Dawa ya viatu 200 daily
Mswakin200
Mafuta ya kujipaka 100
Sabini 400 daily hapa unapata 29000*30=
870000
Halafu mtu salary haifiki hat 400000
Kabisa mkuu mimi Nina nyumba Mbeya mjini lakini toka 2016 nilihamishia shughuli zangu mkoa wa Songwe pembeni kabisa mwa mji na sijawahi kujutaTatizo jingine, vijana wengi wanachukulia kuishi mjini, hata kama analala kwenye veranda za maduka ya watu, hana chakula; wanaona ni fashion, na wanaamini wamepiga hatua ya maendeleo.
Nenda ukaishi mahali unapoweza kuzalisha. Watanzania tutaendelea kywa duni kama tutaendelea kufurahia kazi za uchuuzi, kuuza bidhaa dhaifu za China, badala ya kuzalisha ili tuuze nje.
Jambo la kupigania kwa sasa ni wakulima wapate stahiki sawa na faida inayopatikana katika uuzwaji mazao yao nje ya nchi. Tanzania tumekuwa Taifa la kuingiza tu bidhaa, kama tumeshindwa ku-export bidhaa za viwandani, angalao tu-export chakula kwa wingi kama soko lipo.
Kama hayo ndo matumizi na mshahara ndo haizidi 400,000 Kwa mwezi,Hapo Kuna cost tele hujaeka
Mchele 1kg 3500
Unga nusu 1000 mchana
Mboga walai 2000
Nyanya 500
Kitunguu 100
Mafuta 500
Mkaa 1000
Sukari 400
Maji 500
Umeme 700
Vifafunwana 1000
Nauli ya watu 4 @4000
Beki tTu 3000 per day
Matunda wanahimi,a tule 2000
Buku ya mwalimu 1000
Mboga join 4000
Pango 3000 per day
Dawa ya viatu 200 daily
Mswakin200
Mafuta ya kujipaka 100
Sabini 400 daily hapa unapata 29000*30=
870000
Halafu mtu salary haifiki hat 400000