Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

Ukiona hali inazidi kuwa mbaya, tazama mahitaji ya familia yako, ili uone yale yasiyoyalazima uyaondoe.

Mahitaji mengine huwa tunayaendekeza kwa sababu za kimazoea tu, kama vitafunwa asubuhi, muhimu washibe asubuhi, watashiba nini na vipi, jiongeze baba wa familia kwa kushirikiana mawazo na mama yao, wanawake wengi huwa wako vizuri kwenye budget.

Muache Samia apambane kwenye ngazi ya taifa, wewe pambana na mwenzio kwenye ngazi ya familia.
 
Screenshot_20230207-225522.jpg
 
Lakini kwenye mfumo wa kibepari hakuna anaelala njaa.
Ulaya kula sio ishu.
Ni uhakika sababu kwenye ubepari ajira tele
Wenzetu, kwenye mambo ya msingi, wote wanaungana. Na wanaungana katika ukweli, siyo kwenye ushabiki.

Fikiria Tanzania ni kati ya nchi 5 DUNIANI katika kuzaliana. Wanadanganywa waendelee kufyatua watoto, wanashangilia, bila ya kujiuliza wana uwezo wa kujilisha, kuwasomesha, kuwatibu na kuwavisha? Ushabiki, hata kwenye mambo ya kijinga, unatuumiza Watanzania.

Hata bei za chakula zingekuwa chini, bado baadhi ya familia zitaendelea kuwa duni kutokana na ukubwa wa familia usioendana na kipato. Na kibaya zaidi, maskini ndio wanaoongoza kuzaliana kuliko wale walio na kipato.

Fikiria nchi ambayo watoto (ambao siyo wazalishaji), ni wengi maradufu ya watu wazima (wazalishaji). Kwa kuwa wazalushaji ni wachache sana, hata kunapotokea tatizo la inflation kama ilivyo sasa, uwezo wa Serikali hata kutoa ruzuku, unakuwa haupo kwa sababu na kuwa na watu wengi wasioendana na uzalishaji. Kama spidi ya kuzaliana, itaendelea kama ilivyo sasa, hakuna siku hata moja familia zote zitakuja kuwa na maisha bora.
 
Mapori still yapo mengi tza hatuna tatizo la overpopulation,watu waendelee kuzaa tu.ukitoka tu kibaha kilometer 3 nje ni mapori tupu.
Tuache kukaa mijini,fursa zipo maporini huko
 
Nilimsikia akisema anakopa ili afanye kitu cha kuacha alama, hivi legacy inajengwa kwa kuacha daraja kubwa au flyover!? Nyerere aliacha legacy dunia nzima kwa aina ya uongozi, fikra na falsafa zake, leo legacy imekuwa kuacha miradi mikubwa mikubwa kwa gharama ya kuacha nchi kwenye madeni yasiyotamanika.

Hivi kweli hii ndiyo namna ya ku-manage uchumi kwenye nchi maskini kama Tanzania! badala ya kuwekeza kwenye maendeleo ya wananchi walio wengi unaenda kuwekeza kwenye mamiradi yasiyo na kichwa wala miguu yanayotumia pesa nyingi, kununua ndege kwa cash, bila kusahau matumizi ya anasa ya serikali maviieite huku ukikamua hata savings ndogo za watu kwa njia ya tozo.

Ajira hazitolewi, mishahara haieleweki......pesa zinaenda kulipa mikopo iliyochukuliwa kwa pupa.​
 
Ukiona hali inazidi kuwa mbaya, tazama mahitaji ya familia yako, ili uone yale yasiyoyalazima uyaondoe.

Mahitaji mengine huwa tunayaendekeza kwa sababu za kimazoea tu, kama vitafunwa asubuhi, muhimu washibe asubuhi, watashiba nini na vipi, jiongeze baba wa familia kwa kushirikiana mawazo na mama yao, wanawake wengi huwa wako vizuri kwenye budget.

Muache Samia apambane kwenye ngazi ya taifa, wewe pambana na mwenzio kwenye ngazi ya familia.
Hakuna kilicho na hasara kikakosa faida. Huo ugumu wa maisha unaotajwa iwe ni wakeup call, kuwa tunatakiwa:

1) kuwa na mipango ya kuamua juu ya ukubwa wa familia
2) kuwa na mikakati ya kuingia kwenye uzalishaji utakaotuhakikishia vipato vinavyoendana na mahitaji ya familia
3) tuache kukimbilia kazi nyepesi za kubangaiza. Kazi nyepesi, na mapato yatakuwa mepesi.
 
Nimesoma mawazo ya wachangiaji wengi ni watu wa mjini wenye kipato Cha chini kwanza niseme huku kijijini nikiacha elfu tano inatosha kwasababu vitu vingi tunavyo shambani kuhusu bei ya mazao naona ipande zaidi ya hapo wakulima tuishi vizuri wenginine mlitakiwa kuishi vijijini kuliko kukaa mjini kwa kipato Cha laki tano

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mapori still yapo mengi tza hatuna tatizo la overpopulation,watu waendelee kuzaa tu.ukitoka tu kibaha kilometer 3 nje ni mapori tupu.
Tuache kukaa mijini,fursa zipo maporini huko
Fursa ni kweli zipo lakini hutakiwi kuukana ukweli kuwa wategemezi wakiwa wengi kupindukia, uwezo wako wa kutengeneza ukuaji wa mitaji na akiba, unadidimizwa.
 
Nimesoma mawazo ya wachangiaji wengi ni watu wa mjini wenye kipato Cha chini kwanza niseme huku kijijini nikiacha elfu tano inatosha kwasababu vitu vingi tunavyo shambani kuhusu bei ya mazao naona ipande zaidi ya hapo wakulima tuishi vizuri wenginine mlitakiwa kuishi vijijini kuliko kukaa mjini kwa kipato Cha laki tano

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tatizo jingine, vijana wengi wanachukulia kuishi mjini, hata kama analala kwenye veranda za maduka ya watu, hana chakula; wanaona ni fashion, na wanaamini wamepiga hatua ya maendeleo.

Nenda ukaishi mahali unapoweza kuzalisha. Watanzania tutaendelea kywa duni kama tutaendelea kufurahia kazi za uchuuzi, kuuza bidhaa dhaifu za China, badala ya kuzalisha ili tuuze nje.

Jambo la kupigania kwa sasa ni wakulima wapate stahiki sawa na faida inayopatikana katika uuzwaji mazao yao nje ya nchi. Tanzania tumekuwa Taifa la kuingiza tu bidhaa, kama tumeshindwa ku-export bidhaa za viwandani, angalao tu-export chakula kwa wingi kama soko lipo.
 
Lakini kwenye mfumo wa kibepari hakuna anaelala njaa.
Ulaya kula sio ishu.
Ni uhakika sababu kwenye ubepari ajira tele

Binafsi siwezi kupotosha.
Mpaka hapa tulipofikia, ni kwamba, mifumo tunayotumia ya Kibepari tume igiza na kubandika huku kwetu. Yaani tume copy and paste, bila ya kutumia misingi ya Tamaduni na Maadili yetu....na moja yapo ya maadili hayo ni UTU.

Tukubaliane hapo ndio tuendelee.

...ukirudi juu kwenye bandiko langu nimeweka kwenye mabano "njaa" kwa lugha yetu....Umeelewa nini pale?

...manake njaa unayodai wewe sio iliyo kwenye Lugha yangu.

..kwa madai yako ajira "tele" ulaya sikubali juu juu tu.
 
Hapo Kuna cost tele hujaeka
Mchele 1kg 3500
Unga nusu 1000 mchana
Mboga walai 2000
Nyanya 500
Kitunguu 100
Mafuta 500
Mkaa 1000
Sukari 400

Maji 500
Umeme 700
Vifafunwana 1000
Nauli ya watu 4 @4000
Beki tTu 3000 per day
Matunda wanahimi,a tule 2000
Buku ya mwalimu 1000
Mboga join 4000
Pango 3000 per day
Dawa ya viatu 200 daily
Mswakin200
Mafuta ya kujipaka 100

Sabini 400 daily hapa unapata 29000*30=
870000
Halafu mtu salary haifiki hat 400000
Hii ni hatari sana
 
Tatizo jingine, vijana wengi wanachukulia kuishi mjini, hata kama analala kwenye veranda za maduka ya watu, hana chakula; wanaona ni fashion, na wanaamini wamepiga hatua ya maendeleo.

Nenda ukaishi mahali unapoweza kuzalisha. Watanzania tutaendelea kywa duni kama tutaendelea kufurahia kazi za uchuuzi, kuuza bidhaa dhaifu za China, badala ya kuzalisha ili tuuze nje.

Jambo la kupigania kwa sasa ni wakulima wapate stahiki sawa na faida inayopatikana katika uuzwaji mazao yao nje ya nchi. Tanzania tumekuwa Taifa la kuingiza tu bidhaa, kama tumeshindwa ku-export bidhaa za viwandani, angalao tu-export chakula kwa wingi kama soko lipo.
Kabisa mkuu mimi Nina nyumba Mbeya mjini lakini toka 2016 nilihamishia shughuli zangu mkoa wa Songwe pembeni kabisa mwa mji na sijawahi kujuta

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nimepita hapa kimara stopover naona kuna frame zineandikwa zinauzwa kwa mnada na CRDB hapa navuta picha mmiliki ana Hali gani duuh
 
Nchini hii imeharibiwa na wale waliotangulia, haya ndo matokeo yake kwasasa, Nyumba ni Msingi.
 
Hapo Kuna cost tele hujaeka
Mchele 1kg 3500
Unga nusu 1000 mchana
Mboga walai 2000
Nyanya 500
Kitunguu 100
Mafuta 500
Mkaa 1000
Sukari 400

Maji 500
Umeme 700
Vifafunwana 1000
Nauli ya watu 4 @4000
Beki tTu 3000 per day
Matunda wanahimi,a tule 2000
Buku ya mwalimu 1000
Mboga join 4000
Pango 3000 per day
Dawa ya viatu 200 daily
Mswakin200
Mafuta ya kujipaka 100

Sabini 400 daily hapa unapata 29000*30=
870000
Halafu mtu salary haifiki hat 400000
Kama hayo ndo matumizi na mshahara ndo haizidi 400,000 Kwa mwezi,

Ni dhahiri WAFANYAKAZI wa Serikali na sekta binafsi kama hawana shughuli nyinfine kuongeza kipato,

Ni WAIZI, ni WEZI, ni THIEVES, ni Wanyori, ni Wapigaji.
 
Back
Top Bottom