Rais kama mfumo ndo mtoza Kodi na TOZO zinazoenda kuongeza Bei za Bidhaa ktk mzunguko.Mamlaka ya Rais yanahusikaje na kupanda Kwa bei za vitu?
Umeelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais kama mfumo ndo mtoza Kodi na TOZO zinazoenda kuongeza Bei za Bidhaa ktk mzunguko.Mamlaka ya Rais yanahusikaje na kupanda Kwa bei za vitu?
Asante kwa ushauri....lakini usinichagulie yaliyo ya maana. Ya maana au yasiyo ya maana, hayo uniachie mimi kuyachagua na kudadavua. Asante.Tafuta ela hayo mambo hayana maana
Wacha wauze na waendelee na maisha yao. Mimi nina yangu..hatahivyo ni taarifa nzuri na mwenye masikio asikie na mwenye macho aone.Watu wanauza kahawa hekari moja milioni 6 na wanaendesha maisha Yao
Nipo pote poteWewe upo huko maporini au wote tumebanana hapa hapa Dar?
AiseeEe Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏.
Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za Watanzania ni mbaya sana na inatisha kweli kweli 😭😭😭. Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je viongozi wetu hamuoni jinsi wananchi wanavyo teseka.
Ukitaka kujuwa udhaifu wa mtu mtese usimpe chakula nyie kama viongozi juu ya hili mmeliweza wananchi hawana chakula kabisa.
Swali la kujiuliza Mama hivi kweli shilling 10,000 haitoshi kabisa kwa bajeti ya siku kwa familia mfano mdogo tuu, nikuonyeshe mama;
Familia yenye watu 5 tu baba mama na watoto 3, Asubuhi baba aache 10000
~ Asubuhi wanunue vitafungwa tu 2,000, watoto wapewe nauli za shule 1000×3=3000 hii ni nauli pamoja na hela ya kula shuleni. Mchana mama haha chochote labla mama amejikaza kanunuwa mihogo ya 1000 na bibi nyingi akala.
Mfukoni imebaki 4000 je, hii hela itatosha kwa chochote kile ila waweze kula jioni?
~ Mchele kilo ni 3,500.
~ Mafutaa pishi ni 500.
~ Mkaa 2000.
~ Mboga za majani 1000.
~ Nyanya +karoti + kitunguu 2000.
Je, swali kwenye Ile 10000 baba alio acha asubuhi imebaki shingapi?
Naomba ujue kitu kimoja mama watu wanaoumia juu ya huu mfumuko wa bei ya chakula ni wananchi wa chini sio wa juu 😭😭😭😭.
Je, wewe kama Rais unawaza juu ya hili? Just imagine wewe unatumia shingapi kwa siku juu ya chakula, jaribu kuchukua 10000 halafu ujaribu kuibajetia kama itatosha kwa chochote kwanzia asubuhi hadi jioni.
Ushauri wangu; huu ni muda muafaka wa serikali kusitisha kuuza nafaka nje. Mama naomba achana na Bashe kabisa, huyu ni mfanyabishara mkubwa wa mahindi Kenya na wewe unalijuwa hilo.
Toeni yale mazao yaliyopo kwenye ghala la taifa yauzeni kwa bei nafuu maana hali ni mbaya mtaani huku. Wekeni mikakati ya kuboresha sekta ya kilimo kwa kuwapa vijana mikopo wakalime ili kukabiliana na hili tatizo la njaa siku za mbeleni huko.
Ukiendele kufubaza shingo juu ya hili nililo kuambia tutakumbana na baa la njaa ifikapo mwezi wa 6 mwaka huu. Pia angalia mishahara ya watanzania sio rafiki kabisa na Hali ya uchumi ilivyo
Una mlipa mtu 300000 kwa mwezi huyu mtu kulingana na hesabu ya siku anapokea 10000 hapo bado hajalipa Kodi, NSSF anabakiwa na shingapi hapo lakimbili na nusu je hiyo laki mbili na nusu itatosha kumwendesha maisha kwa mwezi mzima embu fikirieni juu ya hili.
Boresheni mishahara kwa sector zote private sector hawajaongezewa hela hadi saa hizi, ina maana hawa sio Watanzania. Je, gharama za maisha zimepanda kwa wafanyakazi wa serikali tuu?
Mnakwenda kutengeneza kizazi ambacho ni hatari sana kwa hili taifa. Hakuna ajira kwa vijana na wanao hitimu ni wengi, je, nini kinaenda kutokea hadi ifikapo 2035?
Sina mengi ya kuyasema zaidi ya hayo kwa unyenyekevu mkubwa na shukuru mwenyezi Mungu kwa kunifungulia haya na kuyaona na kukueleza Mama nimekuwa mnyenyekevu kwako kwaajili ya Watanzania wote 🙏🙏🙏🙏🙏.
Kingine japo sio cha mwisho angalia Mama swala la vifurushi vimekuwa ni hatari sana.
Shilingi elfu moja unapata MB 490 Mama hii sio haki kabisa, Nape ni kidonda katika hii wizara, haiwezeka kuwa hivi. Mnawanyosha sana wananchi wa chini, SEMA neno moja juu ya hili swala na hakika utarejesha matumaini kwa wananchi wa hali ya chini.
🙏🙏🙏
Rais hauhusiki kwenye Hali ngumu ya maisha ni tokana na mifumo yetu mibivu tuliojiwekeaEe Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏.

Mmmh rudia tena kusoma ulichaondikaRais hauhusiki kwenye Hali ngumu ya maisha ni tokana na mfumo wetubovu tuliojiwekea, pamoja na in working government machineries'
Asante, duu nilichapiaMmmh rudia tena kusoma ulichaondika