Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
WajingaKama hayo ndo matumizi na mshahara ndo haizidi 400,000 Kwa mwezi,
Ni dhahiri WAFANYAKAZI wa Serikali na sekta binafsi kama hawana shughuli nyinfine kuongeza kipato,
Ni WAIZI, ni WEZI, ni THIEVES, ni Wanyori, ni Wapigaji.
Kazini unatoka sa 9
Baada ya hapo unaenda wap ..?
Huwezi kutegemea mshahara
Mshahara ni kama mtaji na bahati nzuri wenzetu wanaweza kukopa kirahisi
Sisi sekta binafsi lazima uwe na nyumba na duka
Jiulize ambao hawana kazi wanaushi vipi na kila siku wanatelemsha mijengo na kununulia na range
Halafu mjinga amekalia kulalamika