Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

Kama hayo ndo matumizi na mshahara ndo haizidi 400,000 Kwa mwezi,

Ni dhahiri WAFANYAKAZI wa Serikali na sekta binafsi kama hawana shughuli nyinfine kuongeza kipato,

Ni WAIZI, ni WEZI, ni THIEVES, ni Wanyori, ni Wapigaji.
Wajinga
Kazini unatoka sa 9
Baada ya hapo unaenda wap ..?
Huwezi kutegemea mshahara
Mshahara ni kama mtaji na bahati nzuri wenzetu wanaweza kukopa kirahisi
Sisi sekta binafsi lazima uwe na nyumba na duka

Jiulize ambao hawana kazi wanaushi vipi na kila siku wanatelemsha mijengo na kununulia na range
Halafu mjinga amekalia kulalamika
 
Nimepita hapa kimara stopover naona kuna frame zineandikwa zinauzwa kwa mnada na CRDB hapa navuta picha mmiliki ana Hali gani duuh
Ishu ya Ku default Ina mambo mengi
Wengine ni sababu walipata hela wakaweka heshima bar
Wengine biashara imeharibika kwa hasara au kutapeliwa au kuharibuka kwa soko,
Wengine wamedanganya bank wamechukua mikopo nikubwa wamegoma kulipa wakati huo wameenda kujenga majunba mapya na kutelekeza waliyoweka dhamana

So .....

Hio Haina uhusiano na Rais
Watu wafanye kazi biashara zin
 
Brother tafuta shamba Lima mandindi hekari 1 utapata gunia 30
Lima mpunga utapata gunia 40
Lima maharage utapata gunia 9

Mungu katupa mvua na ardhi
Wewe umekaa kulia lia ujinga ujinga
Wewe umelima ngapi na ulianza na mtaji kiasi gani? Na ni lini?
 
Binafsi siwezi kupotosha.
Mpaka hapa tulipofikia, ni kwamba, mifumo tunayotumia ya Kibepari tume igiza na kubandika huku kwetu. Yaani tume copy and paste, bila ya kutumia misingi ya Tamaduni na Maadili yetu....na moja yapo ya maadili hayo ni UTU.

Tukubaliane hapo ndio tuendelee.

...ukirudi juu kwenye bandiko langu nimeweka kwenye mabano "njaa" kwa lugha yetu....Umeelewa nini pale?

...manake njaa unayodai wewe sio iliyo kwenye Lugha yangu.

..kwa madai yako ajira "tele" ulaya sikubali juu juu tu.
Tafuta ela hayo mambo hayana maana
Watu wanauza kahawa hekari moja milioni 6 na wanaendesha maisha Yao
 
Uzi mzuri sana hakika mama ameuona.
Unataka kuandika katiba yoyote embu waone hawa jamaa. Ni moto wa kuotea mbali.
IMG-20230208-WA0007.jpg
 
Rais Ruto wa KENYA anaongoza maombi kitaifa kuombea nchi Ili iepukane na UKAME ujao.

Unakuja ukame na baa kubwa ambalo halijawahi tokea ULIMWENGUNI.

Dunia inasema chanzo Cha tatz ni Global worming,

Watumishi wa Mungu tunasema chanzo ni DHAMBI na UOVU uliotamalaki ktk Nchi, umefunguliwa Muhuri wa nne na Dunia inapokea mapigo.

Ukijua chanzo utatafuta solution,

Kama chanzo ni global warming, kapande miti na usipikie mkaa,

Kama chanzo ni DHAMBI, tuvae MAGUNIA tuombe TOBA na REHEMA juu ya Dunia.

Tuna muda mchache wa kutumia mvua zilizopo na tukivuna tutunze chakula.

Kupanga ni kuchagua na,

Yajayo yanasikitisha Kwa WAOVU, maana maafa yatakuwa makubwa zaidi kwao na familia zao.
 
Ktk suala la KATIBA mpya, tutatoka wengi mno makundi mbalimbali.

Hamasa na Elimu iendelee bila kuchoka.

Watu waelimishwe Kwa staha na upole jinsi Gani Katiba mbovu iliyopo inavyohusika kuwabebesha mzigo mzito wananchi Ili kuwanufaisha kundi dogo.

Tutashinda. Amen
Katiba Mpya ni muhimu ila Sasa msiwadangnye wjinga kwamba itawletea chakula mezani au kushusha gharama za maisha.

Muwaambie mapema kwamba kote kwenye Katiba Mpya gharama za maisha ziko Juu na kule ambako hakuna hizo Katiba gharama ni nafuu kama China.
 
Hivi Kuna yule Mama Mkurugenzi Mkuu wa NBS,kile cheo ni cha Ki-Chief?
Yule mama takwimu zake zimejaa uwongo mwingi sana,hivi ni kweli kwa mfumuko huu wa bei za bidhaa,ni 4.9% kweli [emoji1787].
Mimi naona mfumuko wetu wa bei upo kati ya 10% na kuendelea.
Kwa hiyo yeye pekee ndio ana compile au? Kwa hiyo Kila taasisi inadanganya au? Tatizo lenu mumekariri,kama Kuna mfumuko wa bei inakuaje wali WA buku jero Bado upo?
 
Mama anapambana na Gridi ya taifa ya umeme chini Engineer Kipara Makamba kwa gharama ya Bilioni 500 badala ya kupambana na inflation!!
Ni 1.9T hiyo bil.500 umeitoa wapi? Mama ana akili sio zwazwa kama wewe maana anajua kwenye production component muhimu ni umeme.
 
Subirini Mama afumue Gridi ya taifa ya umeme,bei zitashuka tu!
Leo yupo Ikulu ya Magogoni anasainisha mikataba ya Bilioni 500 na Wakandarasi!
Zitashuka ndio,umeme unapelekwa kwenye migodi na Vijijini Kwa nini production costs zao zisishuke na wawe matajiri zaidi?
 
Hizi mvua tu zikikata kabla ya swala hata la chakula kuwa ghali, mabwana TANESCO watawaletea story kwamba maji yameisha hivyo watakata umeme siku nzima.

Wenye wanauza vitu vya kuhifadhiwa kwenye friji wakatafute kaz nyingine
Mwezi huu pia wanakamilisha megawatt zingine za gas,Hilo jua hata liwake mwaka mzima.hutosikia tena za mwaka jana
 
Brother tafuta shamba Lima mandindi hekari 1 utapata gunia 30
Lima mpunga utapata gunia 40
Lima maharage utapata gunia 9

Mungu katupa mvua na ardhi
Wewe umekaa kulia lia ujinga ujinga
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Wajinga
Kazini unatoka sa 9
Baada ya hapo unaenda wap ..?
Huwezi kutegemea mshahara
Mshahara ni kama mtaji na bahati nzuri wenzetu wanaweza kukopa kirahisi
Sisi sekta binafsi lazima uwe na nyumba na duka

Jiulize ambao hawana kazi wanaushi vipi na kila siku wanatelemsha mijengo na kununulia na range
Halafu mjinga amekalia kulalamika
Ingekuwa huko mtaani tunaona mambo yamesimama tungesema kweli ila watu wanaendelea kujiletea Maendelea sasa hizo zingine xinaishia kuwa kelele za wajinga tuu
 
Katiba Mpya ni muhimu ila Sasa msiwadangnye wjinga kwamba itawletea chakula mezani au kushusha gharama za maisha.

Muwaambie mapema kwamba kote kwenye Katiba Mpya gharama za maisha ziko Juu na kule ambako hakuna hizo Katiba gharama ni nafuu kama China.
Nawe wadanganye hao hao,

China waizi na wahujumu wa Mali za Umma wananyongwa hadharani.

Huku kuiba Mali ya umma unaitwa mjanja.

KATIBA mpya itasaidia kuziba mianya ya upotevu wa pesa za Umma bila mtu kunyongwa.

Hilo ndo tatizo letu kubwa Nchi za kiafrika.

Mamlaka ya Rais ni makubwa yanamuelemea na kumfanya aonekane anaperform chini ya kiwango.
 
Nawe wadanganye hao hao,

China waizi na wahujumu wa Mali za Umma wananyongwa hadharani.

Huku kuiba Mali ya umma unaitwa mjanja.

KATIBA mpya itasaidia kuziba mianya ya upoyevu wa pesa za Umma bila mtu kunyongwa.

Mamlaka ya Rais ni makubwa yanamuelemea na kumfanya aonekane anaperform chini ya kiwango.
Kwani Wachina wanasubiria kupewa na Serikali? Kwani inawalimia? Kwanza huko China hawataki watu walalamishi kama wewe.

Tanzania hatuwanyongintunawatia korokoroni
 
Kwani Wachina wanasubiria kupewa na Serikali? Kwani inawalimia? Kwanza huko China hawataki watu walalamishi kama wewe.

Tanzania hatuwanyongintunawatia korokoroni
Ukitaka usisemwe JIUZULU, fanya KAZI zako binafsi,

Usitegemee mshahara au tenda Kutoka Serikalini hatutakusema.
 
Back
Top Bottom