Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Umesema sahihi Mkuu, kwenye ule Uzi wangu wa biashara ya Lodge nilieleza changamoto ya upigaji Kwa wasimamizi

Walau kwasasa nimedhibiti wizi wa hao Vijana ndiyo maana nimepata nguvu ya kuanzisha nyingine.

Nitaleta Mrejesho wake hapa πŸ’ͺ
 
Niombee nifanikiwe Mkuu πŸ™
Amin mkuu nipo pamoja na wewe bega kwa bega .kwa sisi vijana wapambanaji tubapopata fursa lengo letu kubwa linakua ni kufanya kitu ili kilete matokeo mazuri.
Ili katika project zijazo tupate shavu zaidi

Unapoona mtu mpigaji jua kuna mawili 1. Elimu chache
2. Malezi
 
Yaaah mkuu najitahidi kufanya hivo mkuu...
Wanasema ukiwa unawaza sana negative hata matokeo yatakua hv hvo negative mana issue kubwa hapa ni mind tu ni jinsi gani una i command...

Mi mamlaka yangu ya juu ni my mind mkuu



Yes be positive
Connect ur self with the higher power (God /universe and etc

Practice gratitude /jizoeze kushukuru sema Asante kila Leo.
 
Ok
 
Juma toto iko kunya nenda tawaza,juma iko nyanya isha enda nunua,juma kitoka sokon osha gari,juma iko peleka mama jamatini,juma nenda beba toto shule
Ahahahahahah kmmke wale mbwa wale hapana aiseeee.
Hata viwandani moto ule ule mkuu daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…