Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Kuna mda inabidi uwe na roho ngumu mjini hapa aiseee.

Kama nilipo sasa nimejitenga hata hawajui nilipo.
Wananiona ona tu ila hawajui exactly my location
Yes ndio inavyotakiwa,wasijue unafanya nini,una kiwango gani cha mafanikio,wanatakiwa waje kujua baadae sana wakati ushakuwa bilionea hapo utakuwa umejipanga hawana cha kukufanya tena
 
Maaan nilichogundua hata marafiki ni watu ambao wanachangia kushuka kwako.
Mtu anaweza kukushusha kwa maneno ya kukuvunja moyo tu.

Ndio mana mambo yangu bora nije nimalizie huku maana nitapata ushauri positive sana sio kama huku mtaani mkuu.

Hapa nasubiri mambo yawe sawa ndo hapo taanza kuwa available ila kwa sasa ni mwendo wa kimya kimya
 
Huku watu unakuta wana miili midogo midogo unaweza kusema wanapenda kumbe ni hali ya CHAPATI marage asubuhi chapati marage jioni... Daily

Ahahahha aaaah nyie huku pamoto
 
Sasa pesa anapataje hapa mkuu
Kila mtu ana siri yake mwingine unaweza ukamuona hivi ana muonekano wa kiheshima kama mshua na anaendesha ndinga lakini kazi yake ni tapeli,mwingine anaishi kwa uchawa,mwingine unakuta ana biashara zake mkoani huko ulikopakimbia wewe labda analimisha mashamba au ana boti zake ziwani watu wanamsimamia na kumtumia mihamala ila yupo mjini kubadilisha hali ya hewa tu.
Cha msingi usiwe na pupa kaa upasome kwanza na uwe unatafuta marafiki wa kukupa connection hata mtaani unapokaa angalia vijana hata wa bodaboda nenda kazoeane nao watakuwa wanakuongoza jinsi ya kupata deiwaka mbalimbali mimi siamini kama watu wa dar wana roho mbaya au ubaguzi sio kweli.
 
Maaan nilichogundua hata marafiki ni watu ambao wanachangia kushuka kwako.
Mtu anaweza kukushusha kwa maneno ya kukuvunja moyo tu.

Ndio mana mambo yangu bora nije nimalizie huku maana nitapata ushauri positive sana sio kama huku mtaani mkuu.

Hapa nasubiri mambo yawe sawa ndo hapo taanza kuwa available ila kwa sasa ni mwendo wa kimya kimya
yeah ili ufanikiwe unatakiwa kila wakati uwe unapata marafiki wapya wa kukufundisha mbinu mbalimbali za kufanikiwa na sio marafiki wa zamani
 
Kila mtu ana siri yake mwingine unaweza ukamuona hivi ana muonekano wa kiheshima kama mshua na anaendesha ndinga lakini kazi yake ni tapeli,mwingine anaishi kwa uchawa,mwingine unakuta ana biashara zake mkoani huko ulikopakimbia wewe labda analimisha mashamba au ana boti zake ziwani watu wanamsimamia na kumtumia mihamala ila yupo mjini kubadilisha hali ya hewa tu.
Cha msingi usiwe na pupa kaa upasome kwanza na uwe unatafuta marafiki wa kukupa connection hata mtaani unapokaa angalia vijana hata wa bodaboda nenda kazoeane nao watakuwa wanakuongoza jinsi ya kupata deiwaka mbalimbali mimi siamini kama watu wa dar wana roho mbaya au ubaguzi sio kweli.
Kweli mkuu wala sio uwongo....
Sema mi nipo sehemu hapa nemetega ki library ili nipate chochote kitu ila sasa naona kama wananchi wa hapa wanafanya life iwe ngumu sasa aahahah
 
Back
Top Bottom