Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

IMG_20240413_155459.jpg
 
Wakuu,

Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
Mkuu Rufiji......naona mnakuja kututembelea na matamko ya kisiasa tuuu!!!
 
Mbezi mvua inanyesha.. nimeagiza goma langu liwe delivered kutoka Mtoni Kijichi ndo naskilizia hapa.
😁
 
Hali ya ndani, ndo tunayatoa. Leo mara ya pili. Mto wa Mbu.
 
Attachments

  • 17130136210582340472631877533033.jpg
    17130136210582340472631877533033.jpg
    2.4 MB · Views: 4
Yaani hapa Dar ni
💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦
💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦
💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦
 
Hali ya ndani, ndo tunayatoa. Leo mara ya pili. Mto wa Mbu.
Poleni Sana,Kuna mtu kaniambia mto wa mbu watu wamehama baadhi ya nyumba,Hali Ni mbaya.
Vipi kwa Leo inanyesha au la?
 
Poleni Sana,Kuna mtu kaniambia mto wa mbu watu wamehama baadhi ya nyumba,Hali Ni mbaya.
Vipi kwa Leo inanyesha au la?
Kwani hata inanyeshaga mto wa mbu basi? Hiyo ni Karatu mjomba, Yani ikinyesha Mbulumbulu vizuri mbona tutaijua fureshi aisee. Bado tupo kwenye danger zone
 
nipo karatu leo aseee maji ni mengi nyumba zinafunikwa mpaka mabati barabara hazipitiki kwa urahisi sehemu nyingine madaraja yanafunikwa na maji jumlisha matope ni balaa
IMG_20240415_142536_1.jpg
 
Kwani hata inanyeshaga mto wa mbu basi? Hiyo ni Karatu mjomba, Yani ikinyesha Mbulumbulu vizuri mbona tutaijua fureshi aisee. Bado tupo kwenye danger zone
asee mto wa mbu kumejaa maji barabarani nimepita ikabidi nisikitike kwenye vazi lako buti si kitu ya kuacha sasa hiyo karatu sio mchezo
 
Back
Top Bottom