Hali ya Mzee Kawawa...

Hali ya Mzee Kawawa...

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Kumekuwa na taarifa za utata juu ya hali ya mzee wetu Kawawa... Kuna mwenye ufahamu juu ya kinachoendelea? Walinzi wake, wanae hawapokei simu, au zikiita sana baadae hazipatikani kabisa!

Kuna taarifa zinazochanganya, ieleweke kuwa huyu ni kiongozi wetu SOTE na ni haki ya watanzania kufahamu hali yake kiafya tafadhali!

i1344_2CAYCIYE9.jpg

Rais Kikwete alipomtembelea mzee Kawawa hospitalini Muhimbili hii leo...
 
Wanasema yuko shwari
Something is wrong somewhere, bado yupo Muhimbili ICU, lakini ni vema wakatueleza kila hatua ya afya yake inavyoendelea. Huyu ni kiongozi MUHIMU kwa taifa letu!
 
Something is wrong somewhere, bado yupo Muhimbili ICU, lakini ni vema wakatueleza kila hatua ya afya yake inavyoendelea. Huyu ni kiongozi MUHIMU kwa taifa letu!

Pole sana babu wa taifa. Nafikiri pia amechoshwa uzee na jinsi anaona nchi walioipigania ikiwa inaenda mrama!!! Kama una mapenzi mema na hii nchi unaweza kupata kiharusi kabisa ukafa au kulemaa maisha. Inasikitisha.
 
Something is wrong somewhere, bado yupo Muhimbili ICU, lakini ni vema wakatueleza kila hatua ya afya yake inavyoendelea. Huyu ni kiongozi MUHIMU kwa taifa letu!

pls any updates wakuu tunaomba mtujulishe...ni mzee wetu muhimu sana kwa Taifa letu....GETWELL SOON MZEE KAWAWA.
 
Poleni wafiwa bwana ametoa bwana ametwaa
simba wa yuda
tusalimie babu nyerere huko ;mwambie wakina lowasa na kikwete wanazidi kuiangamiza nchi mliohangaika nayo
 
Kuna taarifa zinazochanganya, ieleweke kuwa huyu ni kiongozi wetu SOTE na ni haki ya watanzania kufahamu hali yake kiafya tafadhali!
Invisible, nadhani kuna kuhusu hili ndio maana simu zao hazipatikani. Huyu ni mmoja wa waasisi wa taifa hili hivyo msiba huu ni msiba wa taifa. Mwenye authority kuutangazia taifa ni raisi wa nchi pekee. Naamini by now wakuu wa media watakuwa wameshaitwa ikulu. Expect breaking news any moment from now!.
 
mtu yoyote mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbavu;na anajua unayo akili ukayakubali atakudharau--from JK NYERERE

YULE SIMBA WA YUDA AMBAE MUDA MFUPI WAUNGWANA ,WAPWA WALINGURUMISHA WAMEPATA UHAKIKA AMEFARIKI AMETOKA KUONYESHWA AKIONGELESHWA NA RAIS J KIKWETE ...HABARI ZAIDI UNAWEZA SUBIRI KUANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV NNE USIKU;

JAMANI HU NI WITO TU KAMA HMNA UHAKIKA KUHUSU SWALA LA KIFO ACHENI ;SUBIRINI WATU WAANDIKE TUTOE POLE KAMA WAKINA MAMA100

HUU NI UUWAJI WA KIJINSIA JAMANI...NASIKITIKA HILO KWA SABABU ILILETWA THREAD YA KUULIZWA JAMANI ALI YA MZEE TUNASIKIA NI TATA HUYU SI MWEHU ALIELIZA HIVI..WEWE UNAKUJA NA KAWAWA NO MORE..JAMANI HUKU TUNAMWONA BABU WA WATU TENA AMEJALIWA UZEE UKIZIDI NDIO KWANZA ANAWAKA KIPARA CHA UTAJIRI

TWAKUTAKIA AFYA NJEMA MZEE KAWAWA SIMBA WA YUDA SALA ZETU ZIKO NYUMA YAKO
 
Jamani watanzania Sheikh yahaya alisema ni mwakani ndo kiongozi wa zamani atafariki hivyo hata 2010 bado!!!
 
naona kizunguzungu ...nilishaanza kujiandaa kuelekea kule madale maana ni jirani yangu kule na uwepo wake ndo umefanya kuwekwe umeme na barabara maridadi....poleni wahusika kwa mstuko
 
Jamani watanzania Sheikh yahaya alisema ni mwakani ndo kiongozi wa zamani atafariki hivyo hata 2010 bado!!!
achana na mambo ya kusoma nyota wewe

Note: yule jamaa aliyeanzisha thread ya kifo cha mzee alimwe 'ban'....
 
Mamamia, kweli umeangalia TBC new leo saa mbili... Je tuamini kipi?
 
naona kizunguzungu ...nilishaanza kujiandaa kuelekea kule madale maana ni jirani yangu kule na uwepo wake ndo umefanya kuwekwe umeme na barabara maridadi....poleni wahusika kwa mstuko
kwani siku hizi ina lami? au ni ile ile ya zamani?
 
Ni Simba wa Vita sio Simba wa Yuda,
Get well soon Simba wa Vita.

Mode you have to offer an apology on behalf of waliomzushia kifo,
 
Back
Top Bottom