Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Kumekuwa na taarifa za utata juu ya hali ya mzee wetu Kawawa... Kuna mwenye ufahamu juu ya kinachoendelea? Walinzi wake, wanae hawapokei simu, au zikiita sana baadae hazipatikani kabisa!
Kuna taarifa zinazochanganya, ieleweke kuwa huyu ni kiongozi wetu SOTE na ni haki ya watanzania kufahamu hali yake kiafya tafadhali!
Rais Kikwete alipomtembelea mzee Kawawa hospitalini Muhimbili hii leo...