Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

Hapo ndo tofaut ya uongozi makini na uongozi unaowataka watu waishi kwa kupendana, wamependana wanaiba sasa
Kuendesha nchi ni lazima uwe na msimamo, si kila mtu anaweza
 
Ndugu nikuendeleza mapambano tu,Coz tumeshatumia kila aina ya njia bado bila bila.
EEeeenHEeee1

Samahani kwa kicheko, lakini usidhani ni kicheko cha dharau au vipi, ni kicheko cha maumivu.

Sasa haya "mapambano" unayosema tuyaendeleze, sijui ni yapi hayo. Nami ningependa sana kuungana nayo, lakini niseme wazi kabisa toka moyoni mwangu, sioni "mapambano"..., yapi, ya akina Mwabukusi? Labda, lakini ni mapema mno, na waTanzania ni kama watu waliodungwa sindano ya ganzi isiyokwisha nguvu!

Nasubiri kuona viongozi wanaoweza kusimamia "mapambano" kama hayo unayoyazungumzia. Hawa wakipatikana, nina hakika huo usingizi wa ganzi unaowasumbua waTanzania utakwisha haraka sana.
 
Hata usipokamilika sawa tuu maana hauna faida yeyote.

Mwisho Kigogo anaongea ujinga kutaka kumtetea mkandarasi wa mchongo aliyefilisika.

View: https://twitter.com/dseinsights/status/1714656045472022755?t=loeQXffQR5gwMpN-TITeJA&s=19
 
Tulienda kuhoji hili suala wizaran ndugu
 
Huu mradi haushi leo wala kesho

Unahujumiwa,watu fulani hawataki

Kabisa mradi huu ukamilike maana

Wanajuwa biashara zao zitadoda

Ova
Hadi hapo tutakapokuwa na ujasiri wa kuwaweka watu wa aina hii mbele ta "firing squade" pale Mnazi mmoja, na vituo vyote vya TV vikionyesha tukio hilo mbashara, hii nchi itaendelea kuchezewa na hawa wapumbavu.

Ndiyo, naomba uniweke kwenye orodha ya watu wanaotaka majambazi hawa wasichekewe kwa njia yoyote ile.
 
Licha ya 'mapungufu' yake ya kibinadamu, JPM alikuwa mtu kweli kweli wa kusimamia mambo yake.
Mambo hayaendi kwa uzuri, 'HAMKANI SI SHWARI TENA'
Viongozi wetu wasipoamka na kumulika mambo haya, tutazidi kuanikwa 'nyeti' zetu.
Alifika wapi na sgr kwa miaka 6?
 
Gharama ya mradi ni kiasi gani ambayo tulikua nayo yote?
 
Angetafita namna siyo huyu kiongozi dhaifu.
Hujajibu swali,Kwa hela gani alizokuwa nazo na visingizio vile?

Akishindwa Samia kutafuta pesa nani ataweza? Samia ana ushawishi popote alienda anapata.

Tupate matrilioni ya Kilimo ashindws vihela vya Sgr? Mama wa Taifa ana deal na sekta productive sio vimiradi vya kisengerema hivyo na in fact kingekuwa mwanzoni angesh ki damp

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1713057628241211832?t=v4ULMfYzMJmVyo06lN917g&s=19
 
Nilibashiri tu 2019 kuwa lazima cartels wa usafirishaji (basi ,tankers, malori) watahujumu huu mradi.

I was right.
 
Nilibashiri tu 2019 kuwa lazima cartels wa usafirishaji (basi ,tankers, malori) watahujumu huu mradi.

I was right.
Hakuna Cha cartels,Kuna mzigo gani njia hiyo? Hilo ni li mradi lisilo na maana.

Naunga mkono Serikali ijenge mdogo mdogo Hadi 2030 huko ndio ukamilike,Samia anapotoka ndio azindue huo hakuna haja Wala sababu ya haraka,tufanye mambo mengine ya msingi.

Kwenye mikutano ya Rais watu wanalilia Barabara sio reli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…