Leo, zaidi ya wakati wowote ule tokea nianze kuona mabandiko yako mengi humu JF, pamoja na kutoyasoma; lakini nimejua jinsi gani ulivyo juha.Wewe huna akili usinichoshe.
Mkoloni hakujenga reli kama pambo,nyie mbumbumbu mnajenga reli huko Kanda ya Ziwa ikafanye nini?
Huyu mama anayetegemea watu kama wewe kumsaidia aendelee baada ya 2025, naona kwa ujinga wake mwenyewe anawekeza kwa watu wasiokuwa na uwezo wowote hata wa kudanganyia watu kidogo.
Huyo huyo mwanamke akisoma haya uliyoandika hapa, baada ya kukaza mishipa na DP World na IGA kama mlivyokuwa mkifanya, akiyaona haya atatamani mrudishe pesa zote alizowalipa.