ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwanza nani alianzisha tabia ya kutukana watangulizi zaidi ya Mwendazake? Na yeye lazima apewe vidonge vyake , yatamfikia huko huko kaburini ila hawezi kutamka kujitetea.Narudia tena ukiwa kiongozi ni lazima uwe na uwezo wakuja na solution, kiongozi yoyote akija madarakani na kuanza kulaumu kiongozi aliyepita huyo hafai kuwa kiongozi. Madaraka yanapita mikononi mwa watu na yako mazuri na mabaya yanafanyika. Sasa awamu tano zote zimepita mi mwendo wa kurekebisha na kuendeleza mazuri na kumbuka ni chama kimoja CCM. Sasa turudi kwenye topic, VP alikuwa waziri wa fedha awamu ya 5 na waziri muhimu katika awamu ile na hapa ndio tunakosa maadili ya kuwa viongozi, Mimi kama naona sikubaliani na jinsi unavyofanya jambo fulani unaomba kuondoka kwenye serikali hiyo ili upate muda wa kutoa maoni yako huru, huwezi kukaa kimyaa halafu leo useme mimi sikuhusika hapana ni udhaifu wa mtu kuwa kiongozi. Ukiwa ndani ya serikali ni collective responsibility hutaki una resign ndio mwanamme mwenye msimamo. ukibaki ndani wewe ni sehemu usikimbie kuwajibika.
Ndio maana kocha akiondoka anaondoka na jopo lake.
Mwisho solution imeshawekwa hakuna kilichosima ila ukilaumu utaambiwa yaani ujenge msingi hovyo uje kulaumu anaeweka Kuta?
Africa hakuna ambae anaondoka kwenye serikali Kwa hiari kwanza Ukiharibu kufanya hivyo bila hiari ya Rais Unaweza potea.