Sawa mkuu.Nani kakwambia mradi umesimama!?
Mbona hamjiongezi kufatilia zaidi ya kusaka vijarida vya udaku na kuleta hapa
Mradi unaenda vizuri zaidi ya jana
Sasa tueleze, kipande cha Dar hadi Moro tutapanda treni lini? Hili ni swali dogo tu kwako, mtu mwenye uhakika wa unachozungumzia, kama ulivyoonyesha kwenye maneno yako machache hapo juu yasiyokuwa na ushahidi wowote.