kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Zimeingia kwenye mradi wa uchaguzi 2024 na 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mmi najiuliza hivi huyu mama haoni haya yote? Ivi tuna bunge kweli linalo wakilisha wanachi [emoji22][emoji22]"NANI YUKO NYUMA YA KUFA KWA MRADI WA SGR".
Ni swali zuri sana mkuu 'peno hasegawa'.
Hili swali, kidogo lingefanana na lile ambalo sote tungejiuliza "Ni Nani Alitaka Kuuua Mradi wa Bwawa la Umeme, la Mwalimu Nyerere." Huku ikaonekana watakuwa wamejifunua kiasi kikubwa mno, hadi nyeti zao kuwa nje nje; wakaona siyo neno, wakaachia kwa shingo upande.
Kwa hiyo, ukitaka kupata jibu la maswali yote mawili, sidhani kuwa itakuwa vigumu kwako kupata jibu.
Serikali ya Samia inaendeshwa na genge linalozoa kila kitu. Genge hili halina simile na chochote, na wala halina aibu kufanya chochote linapodhamiria kukifanya.
Mfano mzuri ni wa DP World na IGA yake. Mtu mwenye uadilifu hata kidogo, hawezi kamwe kushiriki katika mpango wa aina ile.
Kwa hiyo hapa kwa SGR, tutalia sana endapo serikali ya huyu mama itaendelea kuwepo madarakani. Huo mradi itakuwa ni aibu kubwa sana kwa taifa letu.
Nikisoma yaliyo andikwa ndani ya mada hii sioni lolote la tofauti na yale mengine yooote tunayolia nayo kila siku chini ya hawa watu; lakini nimevutiwa sana na hilo swali, na nadhani ingekuwa na faida zaidi kujaribu kujibu hilo swali kwa usahihi zaidi, kuliko machozi yote haya uliyomwaga hapa.
Mama mwenyewe ni sehemu ya tatizo. Nchi yoyote kama raisi hataki ufisadi kamwe hautakuwepo tena kwa nchi kama Tanzania ambapo rais ni mungumtu anaweza akakomesha ufisadi ndani ya wiki moja tu.Na mmi najiuliza hivi huyu mama haoni haya yote? Ivi tuna bunge kweli linalo wakilisha wanachi [emoji22][emoji22]
Maridhiano ya wapi kaka, hawa wanatuigizia ila nyuma ya pazia nao wanaulaji, wakishatuigizia kwenye kamera nyuma ya pazia wanagonga tano.Yule jamaa angepiga miaka 20 .
Tungekuwa mbali kimiundomibinu.
Sijaona faida ya maridhiano
Mimi nasema Mungu amuweke sehemu anayostahili JPM kama binadamu wengine alikuwa na mazuri na yako hatukukubaliana naye, lakini hapa hoja sio JPM tu maana hata yeye hakuwahi kufanya kubwa likawa mfano kwenye ubadhilifu serikalini zaidi ya ukali. Sokoine mimi sikumshuhudia lakini pia alienda mbali ikawa kama kuonea watu baada ya serikali kuwa hawana pesa baada ya vita na UG. Shida yetu zaidi ya hawa watu, nikuwa na mfumo umeiba mali ya serikali unarudisha kila kitu.Unayoeleza hapa, ni moja ya mambo aliyosifiwa nayo Magufuli, pamoja na maswala mengine ambayo hakuyfanya vizuri.
Mimi ninakubaliana nawe, haya yote yakifanyika ndani ya sheria zetu zilizopo, bila kuoneana.
Sasa tatizo linabaki palepale, tuanzie wapi?
Nani ataongoza juhudi hizi.
Tutampata wapi Magufuli mwingine (mwenye utulivu wa akili zaidi) aongoze mapambano haya?
Mie namtafuta Edward Sokoine, zaidi ya Magufuli.
Wapuuzi kama wewe ndio waliosababisha nchi hii ifike hapa ilipo. Mbadala wa CCM huuoni? Kwa hiyo CCM ni chama cha maisha ktk nchi hii? Mpuuzi mkubwa wewe!Kwani hitaji la Wananchi ni Sgr? Uko sawa kichwani? Mbadala wa ccm ni chama gani sasa
Wewe ni mpuuzi kama ushuzi.Wapuuzi kama wewe ndio waliosababisha nchi hii ifike hapa ilipo. Mbadala wa CCM huuoni? Kwa hiyo CCM ni chama cha maisha ktk nchi hii? Mpuuzi mkubwa wewe!
Hii nchi ni ya kipuuzi sana we acha tu mkuu. Afadhali hata serikali ya JK kuliko hii ya chifu Hangaya inayoongozwa remotely na waarabu na wahindi.Yaani hela za mradi zimeibwa halafu tunakwenda kukopa nyingine kufidia zilizoibwa!.
Mwizi mbona anajulikana wazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hamjasema.Kampuni ya Yapi Markezi haina uwezo tena wa kifedha kuendeleza huu mradi na ni wazi kuna mambo yanafichwafichwa sana juu ya nini chanzo na nani yuko nyuma ya hili jambo baya kabisa kuwahi kutokea. Yaani hela za mradi zimeibwa halafu tunakwenda kukopa nyingine kufidia zilizoibwa!.
Mradi huu una mikopo lukuki na yote tulitangaziwa hapa na tunajua fedha zote za kukamilisha mradi huu zilipatikana zote na ili kuweka angalizo kwa watanzania tunawakumbusha kuwa huu ni mkopo na watakaolipa ni watanzania hawa masikini.
Leo mradi umesimama na mkandarasi kaweka wazi kuwa hana fedha!. tunachukulia jambo hili kiwepesi sana na kama ni jambo dogo na hakuna shida yoyote lakini leo nataka niseme kuna WIZI MKUBWA sana umefanyika kwenye huu mradi mpaka mkandarasi kakosa fedha kuendelea na mradi na kazi imesimama. Hii ni kashfa kubwa sana na hatuwezi kukaa kimya hata iweje.
Vyanzo vyetu vinasema MAJIZI hayo yakichukua hela yao "in advance" mara tu mkataba uliposainiwa na ndiyo maana Yapi Markezi wamefika mahali hela waliyotoa rushwa kwa lazima imeleta nakisi kwenye utekelezaji.
Hatuwezi kulitazama hili kirahisi tu na kuona ni jambo la kawaida na sasa tunatafuta nkopo mwingine kama nchi ili kumalizia mradi! Swali ni kuwa nani kaina fedha za mwanzo? Nani yuko nyuma ya hii michezo kiasi kwamba anaogopwa kutajwa na kushughulikiwa mpaka nchi inaingia kwenye mchakato wa kutafuta mkopo mwingine kumalizia mradi? Huyu MWIZI special hivi ni nani mpaka anapewa ulinzi wa hivi?
CAG hivi upo kweli? Yaani huu mradi kinachojufanya usiukague ni kitu gani? Bunge hivi mpo kabisa yaani na haya yanatokea mnaona sawa tu? Mnashindwa nini kutoa azimio la kumtaka CAG akague na kuweka wazi shida iko wapi?
Sisi tunajua nani yuko nyuma ya hasara hii kubwa kwa hili taifa na tunajua nguvu inatumika kumficha na kumlinda lakini watanzania hawa pamoja na ujinga wao na ulofa wao hawapaswi kupitishwa kwenye njia hii na kama vyombo husika hasa wewe CAG hamtachunguza hili basi tutawasaidia ifikapo 1 January 2024 siku ya mkesha wa mwaka mpya! (Siku hii utakuwa ni ukurasa mpya unafunguliwa)
Haiwezekani kuwatia watanzania kwenye shida ya deni jingine kubwa hivi huku tunamjua mtu aliye katikati ya haya madili na tunaogopa kumsema!. Watanzania siyo malofa na wajinga kiasi hicho hata kama wanakaa kimya.
Hatuwezi kukaa wa watu kama Kadogosa pale TRL badala ya kufanya kazi wao wako hapo kwa ajili ya kusaidia watu kuiba fedha za watanzania na wanaogopa kuwasema kwa kuwa wanataka kulinda nafasi zao na vyeo vyao na wengine wameahidiwa ubunge kama Kadogosa. Nyie kama mnawaogopa ni vizuri lakini sisi Kigogo Media hatujawahi kumuogopa mtu na hili linajulikana na tutasema waziwazi ili kila mtu ashinde mechi zake.
Watanzania kuna wizi na kashfa ya kutisha kwenye mradi wa SGR na chanzo cha Yapi Markezi kukwama kuendelea na kazi ni mabilioni ya fedha yamekwapuliwa na wakubwa wakati wa kuwapa tenda sasa hawana hela tena.
Nchi hii ina vyama vingapi wewe mbweha mwitu? Kasome somo la uraia darasa la nne majibu yamo humo. Hata kuku ana akili kuliko wewe fisi.Wewe ni mpuuzi kama ushuzi.
Hakuna chama mbadala wa ccm,kipi?
Kuna wachumi daraja la Kwanza wanaona ni Sawa na waziri wa UjenziThis is unaccepatable huu mradi haiwezekan ukaachwa ukafa itakuwa loss kubwa ya takriban trillion 23+ sisi kama taifa hatuiwez hii hasara na fedhea
Chama ni Kimoja ccm,zingine ni saccos za matapeli tuuNchi hii ina vyama vingapi wewe mbweha mwitu? Kasome somo la uraia darasa la nne majibu yamo humo. Hata kuku ana akili kuliko wewe fisi.
Wenye akili walijua kwamba hela hazipo wewe sasa utaambiwa mchochezi ama umetumwa na mabeberu hahaa haka kalikuwa kamsemo ketu pendwa tukibananishwa kwenye konaKampuni ya Yapi Markezi haina uwezo tena wa kifedha kuendeleza huu mradi na ni wazi kuna mambo yanafichwafichwa sana juu ya nini chanzo na nani yuko nyuma ya hili jambo baya kabisa kuwahi kutokea. Yaani hela za mradi zimeibwa halafu tunakwenda kukopa nyingine kufidia zilizoibwa!.
Mradi huu una mikopo lukuki na yote tulitangaziwa hapa na tunajua fedha zote za kukamilisha mradi huu zilipatikana zote na ili kuweka angalizo kwa watanzania tunawakumbusha kuwa huu ni mkopo na watakaolipa ni watanzania hawa masikini.
Leo mradi umesimama na mkandarasi kaweka wazi kuwa hana fedha!. tunachukulia jambo hili kiwepesi sana na kama ni jambo dogo na hakuna shida yoyote lakini leo nataka niseme kuna WIZI MKUBWA sana umefanyika kwenye huu mradi mpaka mkandarasi kakosa fedha kuendelea na mradi na kazi imesimama. Hii ni kashfa kubwa sana na hatuwezi kukaa kimya hata iweje.
Vyanzo vyetu vinasema MAJIZI hayo yakichukua hela yao "in advance" mara tu mkataba uliposainiwa na ndiyo maana Yapi Markezi wamefika mahali hela waliyotoa rushwa kwa lazima imeleta nakisi kwenye utekelezaji.
Hatuwezi kulitazama hili kirahisi tu na kuona ni jambo la kawaida na sasa tunatafuta nkopo mwingine kama nchi ili kumalizia mradi! Swali ni kuwa nani kaina fedha za mwanzo? Nani yuko nyuma ya hii michezo kiasi kwamba anaogopwa kutajwa na kushughulikiwa mpaka nchi inaingia kwenye mchakato wa kutafuta mkopo mwingine kumalizia mradi? Huyu MWIZI special hivi ni nani mpaka anapewa ulinzi wa hivi?
CAG hivi upo kweli? Yaani huu mradi kinachojufanya usiukague ni kitu gani? Bunge hivi mpo kabisa yaani na haya yanatokea mnaona sawa tu? Mnashindwa nini kutoa azimio la kumtaka CAG akague na kuweka wazi shida iko wapi?
Sisi tunajua nani yuko nyuma ya hasara hii kubwa kwa hili taifa na tunajua nguvu inatumika kumficha na kumlinda lakini watanzania hawa pamoja na ujinga wao na ulofa wao hawapaswi kupitishwa kwenye njia hii na kama vyombo husika hasa wewe CAG hamtachunguza hili basi tutawasaidia ifikapo 1 January 2024 siku ya mkesha wa mwaka mpya! (Siku hii utakuwa ni ukurasa mpya unafunguliwa)
Haiwezekani kuwatia watanzania kwenye shida ya deni jingine kubwa hivi huku tunamjua mtu aliye katikati ya haya madili na tunaogopa kumsema!. Watanzania siyo malofa na wajinga kiasi hicho hata kama wanakaa kimya.
Hatuwezi kukaa wa watu kama Kadogosa pale TRL badala ya kufanya kazi wao wako hapo kwa ajili ya kusaidia watu kuiba fedha za watanzania na wanaogopa kuwasema kwa kuwa wanataka kulinda nafasi zao na vyeo vyao na wengine wameahidiwa ubunge kama Kadogosa. Nyie kama mnawaogopa ni vizuri lakini sisi Kigogo Media hatujawahi kumuogopa mtu na hili linajulikana na tutasema waziwazi ili kila mtu ashinde mechi zake.
Watanzania kuna wizi na kashfa ya kutisha kwenye mradi wa SGR na chanzo cha Yapi Markezi kukwama kuendelea na kazi ni mabilioni ya fedha yamekwapuliwa na wakubwa wakati wa kuwapa tenda sasa hawana hela tena.
Ninachojua kwasasa watu wanajenga majumba ya gharama kwa kasi sana. Mtu m'moja ana site 6 maeneo tofauti ya mikoa tofauti na zote zipo active watu wapo kazini wanajenga.
Magari ya bei namba E yamejaa barabarani, bei tunazungumzia Milioni 45+ na kuendelea hazijulikani zimenunuliwa kwa Cash au mkopo. Mfano ni zile Land cruiser 300 series mpya, saa hii zimeanza kujaa barabarani tena kwa wingi sana.
Kwa kifupi watu wanajeuri ya pesa. Na ndicho hiki kitu mlichukia magufuri mkasema ana roho mbaya kwa kuzuia watu wachache wasijineemeshe kimaisha.
So wacha tutafune hela za miradi hadi ziishe.
Wewe ni takataka au unanufaika na wizi unaoendelea hapa nchini. Sasa kama bajeti imeongezeka lakini inaishia mifukoni mwa watu kuna faida gani hapo? Wapuuzi kama wewe ndio mnaosababisha watanzania waendelee kuteseka na serikali ya kifisadi ya CCM.Wilaya yangu Bajeti ilikuwa 1b na Sasa ni 4b wewe Kwa Yako unadhani utaongeza Bajeti ya kaiz bila Bajeti ya usimamizi? Samia ni namba nyingine
Sasa huo "mfumo" unaoueleza wewe unadhani utatoka wapi?Mimi nasema Mungu amuweke sehemu anayostahili JPM kama binadamu wengine alikuwa na mazuri na yako hatukukubaliana naye, lakini hapa hoja sio JPM tu maana hata yeye hakuwahi kufanya kubwa likawa mfano kwenye ubadhilifu serikalini zaidi ya ukali. Sokoine mimi sikumshuhudia lakini pia alienda mbali ikawa kama kuonea watu baada ya serikali kuwa hawana pesa baada ya vita na UG. Shida yetu zaidi ya hawa watu, nikuwa na mfumo umeiba mali ya serikali unarudisha kila kitu.