Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

Huu mradi haushi leo wala kesho

Unahujumiwa,watu fulani hawataki

Kabisa mradi huu ukamilike maana

Wanajuwa biashara zao zitadoda

Ova
Ili iwaje? Na bwawa mlianza na GIA hizi hizi za majungu, na mbaya zaidi hauwajui unaodai wamehujimu,wataje kama unawajua.

Sgr utakamilika kama ilivyopangwa 2030
 
This is unaccepatable huu mradi haiwezekan ukaachwa ukafa itakuwa loss kubwa ya takriban trillion 23+ sisi kama taifa hatuiwez hii hasara na fedhea
Tatizo Maza anadifiwa kwenye mazuri yote. Mabaya yote wanamuepusha. This is pathetic. Kama kuna tatizo abebeshwe zigo lote la CHAWA.
 
Licha ya 'mapungufu' yake ya kibinadamu, JPM alikuwa mtu kweli kweli wa kusimamia mambo yake.
Mambo hayaendi kwa uzuri, 'HAMKANI SI SHWARI TENA'
Viongozi wetu wasipoamka na kumulika mambo haya, tutazidi kuanikwa 'nyeti' zetu.
Hata Daraja la Magufuli Kigongo Ferry to Busisi ni kama kazi imesimama.
 
Mimi ni Moja ya watu ambao siutaki huu mradi Kwa sababu hauna mana yeyote zaidi ya kuzika pesa ambazo hazitakuja kurudi na baada ya kuzika tutaendelea tena Kuendesha Kwa Kodi za watu.

Ningekuwa na uwezo ningefutilia mbali.Pesa zilizozikwa hapo tungekuwa tumefikisha lami Wilaya zote za Nchi hii na tungekuza uchumi mara dufu ila Kwa upumbavu huu ulioasisiwa na wakurupukaji wa awamu ya 5 utaligharimu Taifa miaka Mingi sana ijayo.
 
Kila siku huwa mnajiuliza kwanini nchi za kiafrika hazipigi hatua kimaendeleo. Nadhani jibu mmelipata sasa. Na hakuna chochote kitakachofanyika, wala hakuna atakaewajibika. Imeisha hiyo..!
Ingekuwa ni daladala hii nchi ungetamani ushuke tu bora kutembea kwa miguu tu
 
Huu mradi haushi leo wala kesho

Unahujumiwa,watu fulani hawataki

Kabisa mradi huu ukamilike maana

Wanajuwa biashara zao zitadoda

Ova
Niliwahi pita somewhere kwenye hio reli nikaona mataluma ysmepata KUTU. kweli kweli hata treni haijaaza pita.

Vyuma vinalika na kutu.

Waste of money...

Hii nchi Ili iendelee Kuna watu Fulani inabidi wasiwepo
 
Kabisa mkuu, tungekuwa na umoja kama nchi bila shaka huu upumbavu unaoendelea tungekuwa tumechukua hatua kali sana dhidi ya genge dogo la wahuni ila kwa nature yetu na hali halisi ilivyo kwakweli inakatisha tamaa sana.
Tatizo kubwa katika Nchi yetu ni sisi wenyewe wananchi.

Mpaka sasa sijaona wa kuiadabisha serikali kwa thinking tulizonazo, unafiki, uwoga pamoja na uchawa.

Kitu cha pili ni matumizi ya lugha yetu ya kiswahili ( naamini 100%) kiswahili kinachangia sana wananchi kuwa wadumavu wa fikra (Kuhoji, kuchukua hatua)

Ukosefu wa Elimu kwa jamii nyingi za watanzania ndio mtaji ambao unanufaisha tabaka flan
 
Huyu mama na wezi wenzake wameshakuwa wachawi na wanawatafuna wananchi wao, haya majamaa nikutengeneza secreti mission ya kuyaua vinginevyo mtajuta kuzaliwa Tanzania.
 
Kampuni ya Yapi Markezi haina uwezo tena wa kifedha kuendeleza huu mradi na ni wazi kuna mambo yanafichwafichwa sana juu ya nini chanzo na nani yuko nyuma ya hili jambo baya kabisa kuwahi kutokea. Yaani hela za mradi zimeibwa halafu tunakwenda kukopa nyingine kufidia zilizoibwa!.

Mradi huu una mikopo lukuki na yote tulitangaziwa hapa na tunajua fedha zote za kukamilisha mradi huu zilipatikana zote na ili kuweka angalizo kwa watanzania tunawakumbusha kuwa huu ni mkopo na watakaolipa ni watanzania hawa masikini.

Leo mradi umesimama na mkandarasi kaweka wazi kuwa hana fedha!. tunachukulia jambo hili kiwepesi sana na kama ni jambo dogo na hakuna shida yoyote lakini leo nataka niseme kuna WIZI MKUBWA sana umefanyika kwenye huu mradi mpaka mkandarasi kakosa fedha kuendelea na mradi na kazi imesimama. Hii ni kashfa kubwa sana na hatuwezi kukaa kimya hata iweje.

Vyanzo vyetu vinasema MAJIZI hayo yakichukua hela yao "in advance" mara tu mkataba uliposainiwa na ndiyo maana Yapi Markezi wamefika mahali hela waliyotoa rushwa kwa lazima imeleta nakisi kwenye utekelezaji.

Hatuwezi kulitazama hili kirahisi tu na kuona ni jambo la kawaida na sasa tunatafuta nkopo mwingine kama nchi ili kumalizia mradi! Swali ni kuwa nani kaina fedha za mwanzo? Nani yuko nyuma ya hii michezo kiasi kwamba anaogopwa kutajwa na kushughulikiwa mpaka nchi inaingia kwenye mchakato wa kutafuta mkopo mwingine kumalizia mradi? Huyu MWIZI special hivi ni nani mpaka anapewa ulinzi wa hivi?

CAG hivi upo kweli? Yaani huu mradi kinachojufanya usiukague ni kitu gani? Bunge hivi mpo kabisa yaani na haya yanatokea mnaona sawa tu? Mnashindwa nini kutoa azimio la kumtaka CAG akague na kuweka wazi shida iko wapi?

Sisi tunajua nani yuko nyuma ya hasara hii kubwa kwa hili taifa na tunajua nguvu inatumika kumficha na kumlinda lakini watanzania hawa pamoja na ujinga wao na ulofa wao hawapaswi kupitishwa kwenye njia hii na kama vyombo husika hasa wewe CAG hamtachunguza hili basi tutawasaidia ifikapo 1 January 2024 siku ya mkesha wa mwaka mpya! (Siku hii utakuwa ni ukurasa mpya unafunguliwa)

Haiwezekani kuwatia watanzania kwenye shida ya deni jingine kubwa hivi huku tunamjua mtu aliye katikati ya haya madili na tunaogopa kumsema!. Watanzania siyo malofa na wajinga kiasi hicho hata kama wanakaa kimya.

Hatuwezi kukaa wa watu kama Kadogosa pale TRL badala ya kufanya kazi wao wako hapo kwa ajili ya kusaidia watu kuiba fedha za watanzania na wanaogopa kuwasema kwa kuwa wanataka kulinda nafasi zao na vyeo vyao na wengine wameahidiwa ubunge kama Kadogosa. Nyie kama mnawaogopa ni vizuri lakini sisi Kigogo Media hatujawahi kumuogopa mtu na hili linajulikana na tutasema waziwazi ili kila mtu ashinde mechi zake.

Watanzania kuna wizi na kashfa ya kutisha kwenye mradi wa SGR na chanzo cha Yapi Markezi kukwama kuendelea na kazi ni mabilioni ya fedha yamekwapuliwa na wakubwa wakati wa kuwapa tenda sasa hawana hela tena.
 
Dar Pugu kilometers 15 tu pameshindwa kukamilika mwaka wa nane huu.
Ndo wataweza Dar Dom kwa wakati?
 
By uzoefu kila mtawala huja na miradi yake ya upigaji akiondoka na miradi hufa.
 
Back
Top Bottom