Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

Leo.ndio mnaikumbuka chadema, yani waTz tuna ufala sana yani, mkipatwa na matatizo mnataka wanaharakati na wapinzani wawasemee na kutetea, wao wakihitaji support yenu mnawaona kama hawana akili na kuwataka wao waanze kujisaidia kwanza[emoji35] wakikaa kimya ndio mnaanza kulaumu kama unavofanya, efi kila kitu siasa! yes kila kitu ni siasa in this world, hata masaa yako ni siasa imekupangia, sheria unazofuata ni siasa imekuletea, thamani ya pesa yako ni siasa imekuletea, elimu ulonayo ni siasa ilokuletea, hata hao majambazo na machinga kuondolewa sjui upuuzi gani wote huo ni siasa imeleta, sasa mkiambiwa nchague viongozi wazuri mnashupaza shingo, mkiambiwa andamaneni.mdai haki yenu mnajifanya mnapenda ugali mnaogopa na kuwaona wanaowaambia hawana akili, sasa si mjitetee wenyewe mbwa nyie, mnakera sana watu mnaohoji huo.upuuzi kama wewe[emoji35] take action yourself MTF!

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Jamaa leo anaona chadema ya maana.
 
Mh. Rais Samia inatakiwa amfukuze kazi mara moja Waziri wa Mambo ya ndani, na amfukuze kazi IGP haraka, sbb majambazi yamerudi kwa speed tena mchana mchana na silaha.. Jana mwana JF mmoja kaibiwa gari na vitu vingi vya ndani mchana na majambazi yenye silaha huko Bahari beach, Dar.. Haya mambo enzi za JPM hayakuwepo kabisa.
 
Jana kuna uzi mmoja wa yule jamaa aliyeibiwa gari Bahari Beach tulisema hapa hizi ni impact za kutokuwepo JPM zinaanza kuonekana
Watu walitukana matusi balaa.....
but naamini wanaelewa ukweli ila wanajikausha
 
S
IGP hajui majukumu yake hadi apewe amri na kiongozi mkuu..Taifa gani sasa hili la kumtegemea rais..wtf??

Ina maana hata Magufuli alishindwa kutengeneza system zinazoweza kujiendesha zenyewe vizuri bila kupewa amri..

Ina maana hadi madaktari hospitalini ili wafanye upasuaji ilibidi Magufuli ndo atoe amri?

Sent using Jamii Forums mobile app
System ili iwe na ufanisi ina hitaji wa kuisimamia, hamna System inayo jiendesha yeyewe.Hata hizo Computer automation System kuna mtu anaye isimamia na kuimonitor kila siku.
 
S
System ili iwe na ufanisi ina hitaji wa kuisimamia, hamna System inayo jiendesha yeyewe.Hata hizo Computer automation System kuna mtu anaye isimamia na kuimonitor kila siku.
Sasa IGP si ndo msimamizi..na hili sio swala geni,lipo kwenye majukumu yao ya kila siku..hawahitaji raisi awaambie kila siku kuwa kupunguza uhalifu ndo jukumu lao..Meanwhile kuna hadi Waziri wa Mambo ya ndani..

Huu ni upumbavu.

Na Raisi ni nani anamsimamia?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa IGP si ndo msimamizi..na hili sio swala geni,lipo kwenye majukumu yao ya kila siku..hawahitaji raisi awaambie kila siku kuwa kupunguza uhalifu ndo jukumu lao..Meanwhile kuna hadi Waziri wa Mambo ya ndani..

Huu ni upumbavu.

Na Raisi ni nani anamsimamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hata IGP na Waziri wakikosea tuwaache waendelee?
 
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi

Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Yeye ndio alikuwa anabeba mabunduki? Kama sio nini sasa kimebadilika maana hao mapolisi waliokuwa wakiuwa hao majambazi ni walewale na hawajakatazwa kutimiza wajibu wao,acheni kumpa sifa za kijinga yule mungu wenu.
 
Hapewi sifa bali BEFORE and AFTER ndizo zinazo mpa sifa.
 
Wahalifu wamerudi mno
1. Vibaka hasahasa wakata nondo/wapuliza dawa za usingizi
2. Majambazi wa kutumia bunduki
3. Wezi wa magari
4. Wezi wa vifaa vya magari
5. Wezi wa pikipiki

Hao wamerudi kwa kasi mno
Tatizo la vibaka humalizwa na raia wenyewe,polisi hawana uwezo wa kupambana na vibaka
 
ulinzi wa mitaani unaanza na sisi wenyewe tunao ishi ktk mtaa husika.
tuwafichue wahalifu, tutoe taarifa.
mazalia ya uhalifu ni vijiwe vya wavuta bangi.
tuliomba Jeshi letu la Polisi kuongeza doria na kutokomeza vijiwe vya wavuta bangi.
Bangi inahusiana vipi hapo ndugu, kila kiotacho kila msimu inakuwaje wewe unakihukumu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom