Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wa Biblia alikuwa wa hovyo sana, Yani alitaka watu wabaki wajinga bila maarifa.Hata knowledge ilikuja baada ya kula tunda
Ila kwer apa ukitaka kula kiboga unachomoka kama kuku jogoo shwaa unapiga unasepa😂😂tuanze tuWakuu,
Kutokana na maandiko(Quran na Biblia)
Turejee kilichotokea pale Eden Kwa binadamu WA kwanza ADAM na HAWA.
Baada ya ushawishi wa SHETANI, Adam na HAWA wanaamua kula tunda la mti wa kati waliokatazwa na Mwenyezi Mungu.
Na baada ya hapo, wanastuka kujikuta uchi na kutafta namna ya haraka ya kuzisitiri tupu zao.
Hii inatupa tafsiri kwamba halikua lengo la Mungu sisi binadamu tuzisitiri tupu zetu, Tulitakiwa kuishi uchi daima Kama viumbe wengine.
Tukumbuke pia, sio ng'ombe, sio mbuzi, sio kondoo Wala kiumbe yyt mwingine Duniani aliekula tunda lile pale Eden isipokua binadamu pekee Ambae ndie Hadi sasa anaezisitiri tupu zake.
Najaribu kuwaza, Ni aibu Sana. Binadamu mwenye akili zako timamu kumkemea na kumlaani SHETANI na KILA kinachomhusu shetani uku ukijisahau kwamba Hata hizo nguo zako ulizovaa kujisitiri hizo tupu zako Ni Kwa hisani yake yeye SHETANI.
My take:
Binadamu tuache na ule unafiki wa
"BANIANI MBAYA,KIATU CHAKE DAWA"
Namaanisha,
Kama kweli binadamu tumedhamilia kumkataa shetani na Kila kitu CHAKE. Basi tuanze rasmi kuishi na kutembea uchi (Nudism) Kama viumbe wengine duniani maana Tangu mwanzo halikua lengo la Mwenyezi Mungu sisi binadamu tuzisitiri nyeti zetu.
Nawasilisha tujadili Kwa hoja🙏
Uko sahihi na pia hauko sahihi. Haukuwa mpango kamili wa Mungu watu kuvaa nguo ili kujisitiri lakini pia halikua lengo la Mungu watu kuwa uchi.Wakuu,
Kutokana na maandiko(Quran na Biblia)
Turejee kilichotokea pale Eden Kwa binadamu WA kwanza ADAM na HAWA.
Baada ya ushawishi wa SHETANI, Adam na HAWA wanaamua kula tunda la mti wa kati waliokatazwa na Mwenyezi Mungu.
Na baada ya hapo, wanastuka kujikuta uchi na kutafta namna ya haraka ya kuzisitiri tupu zao.
Hii inatupa tafsiri kwamba halikua lengo la Mungu sisi binadamu tuzisitiri tupu zetu, Tulitakiwa kuishi uchi daima Kama viumbe wengine.
Tukumbuke pia, sio ng'ombe, sio mbuzi, sio kondoo Wala kiumbe yyt mwingine Duniani aliekula tunda lile pale Eden isipokua binadamu pekee Ambae ndie Hadi sasa anaezisitiri tupu zake.
Najaribu kuwaza, Ni aibu Sana. Binadamu mwenye akili zako timamu kumkemea na kumlaani SHETANI na KILA kinachomhusu shetani uku ukijisahau kwamba Hata hizo nguo zako ulizovaa kujisitiri hizo tupu zako Ni Kwa hisani yake yeye SHETANI.
My take:
Binadamu tuache na ule unafiki wa
"BANIANI MBAYA,KIATU CHAKE DAWA"
Namaanisha,
Kama kweli binadamu tumedhamilia kumkataa shetani na Kila kitu CHAKE. Basi tuanze rasmi kuishi na kutembea uchi (Nudism) Kama viumbe wengine duniani maana Tangu mwanzo halikua lengo la Mwenyezi Mungu sisi binadamu tuzisitiri nyeti zetu.
Nawasilisha tujadili Kwa hoja🙏
Fact zinathibitisha hivyoA
Alitaka tuwe malofa?
We unafikiri ni kwanini? walikuwa hawaoni dosari kuwa tupu, ila baada tu ya kula tunda wakajiona wako uchi na wakaaza kuona aibu.Wakuu,

Mungu yupo, hata wanasayans wanamuelezea vzr kupitia energy.Kwanza huyo Mungu na Shetani hawapo.
Ni hekaya za vitabuni hizo.
Nenda Rohoni Tena, utakavyoviona ni viwili tu, amani na utulivu,haya mengine ni ya nafsi ,,,,,zaidi tafuta watu wanaofanya tahajudi watakufafanulia zaidi kuhusu rohoBinadamu hakujua mema wala mabaya. Bado natafuta mtu asiyejua mema wala mabaya anafananaje.
Maada Yako umeiandika sana katika hisia za kimwili zaidi kuliko kiroho, unahitaji kujifunza zaidi utagundua kitu kikubwa sana hapo kwenye kitabu Cha mwanzoNamaanisha,
Kama kweli binadamu tumedhamilia kumkataa shetani na Kila kitu CHAKE. Basi tuanze rasmi kuishi na kutembea uchi (Nudism) Kama viumbe wengine duniani maana Tangu mwanzo halikua lengo la Mwenyezi
Rohoni sio kichaka cha kujifichia tunaposhindwa kueleza jambo? Binadamu alikula tunda katika mazingira ya kiroho au ya kinafsi?Nenda Rohoni Tena, utakavyoviona ni viwili tu, amani na utulivu,haya mengine ni ya nafsi ,,,,,zaidi tafuta watu wanaofanya tahajudi watakufafanulia zaidi kuhusu roho