Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Leta andiko la kisayansi linalo muelezea huyo mungu kupitia Energy.Mungu yupo, hata wanasayans wanamuelezea vzr kupitia energy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta andiko la kisayansi linalo muelezea huyo mungu kupitia Energy.Mungu yupo, hata wanasayans wanamuelezea vzr kupitia energy.
Kula Tunda , hii ni codes ya kitu gani?Hata knowledge ilikuja baada ya kula tunda
isome kwanza concept ya energy then ukiilewa njoo tuendelee na mjadala.Leta andiko la kisayansi linalo muelezea huyo mungu kupitia Energy.
Hakuna sehemu yeyote kwenye Energy inayothibitisha uwepo wa huyo Mungu.isome kwanza concept ya energy then ukiilewa njoo tuendelee na mjadala.
Sijui lilimkuta lipi baba j hataki kumzungumzia mama j wake siku hizi,Mama J tumemmiss. hajambo?
😅😅😅😅😅 mambo ya kodi ya mezaSijui lilimkuta lipi baba j hataki kumzungumzia mama j wake siku hizi,
Yalimkuta mazito sio bure😅😅😅😅😅 mambo ya kodi ya meza
Hakuna code ni umalaya tuKula Tunda , hii ni codes ya kitu gani?
Concept ya energy inathibitisha uwepo wa Mungu, ndo maana nikakueleza uisome ili tuwe na mjadala mzuri.Hakuna sehemu yeyote kwenye Energy inayothibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Mnafosi fosi mawazo yenu na imani zenu uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule.
Na wewe ukiweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu ndio uje tuendelee na mjadala.
Kwahiyo hilo tunda lilikua ni tunda gani kwanza ambalo liliwafanya hao watu wakuitwa binadamu wa kwanza waanze kuvaa nguo?Wakuu,
Kutokana na maandiko(Quran na Biblia)
Turejee kilichotokea pale Eden Kwa binadamu WA kwanza ADAM na HAWA.
Baada ya ushawishi wa SHETANI, Adam na HAWA wanaamua kula tunda la mti wa kati waliokatazwa na Mwenyezi Mungu.
Na baada ya hapo, wanastuka kujikuta uchi na kutafta namna ya haraka ya kuzisitiri tupu zao.
Hii inatupa tafsiri kwamba halikua lengo la Mungu sisi binadamu tuzisitiri tupu zetu, Tulitakiwa kuishi uchi daima Kama viumbe wengine.
Tukumbuke pia, sio ng'ombe, sio mbuzi, sio kondoo Wala kiumbe yyt mwingine Duniani aliekula tunda lile pale Eden isipokua binadamu pekee Ambae ndie Hadi sasa anaezisitiri tupu zake.
Najaribu kuwaza, Ni aibu Sana. Binadamu mwenye akili zako timamu kumkemea na kumlaani SHETANI na KILA kinachomhusu shetani uku ukijisahau kwamba Hata hizo nguo zako ulizovaa kujisitiri hizo tupu zako Ni Kwa hisani yake yeye SHETANI.
My take:
Binadamu tuache na ule unafiki wa
"BANIANI MBAYA,KIATU CHAKE DAWA"
Namaanisha,
Kama kweli binadamu tumedhamilia kumkataa shetani na Kila kitu CHAKE. Basi tuanze rasmi kuishi na kutembea uchi (Nudism) Kama viumbe wengine duniani maana Tangu mwanzo halikua lengo la Mwenyezi Mungu sisi binadamu tuzisitiri nyeti zetu.
Nawasilisha tujadili Kwa hoja🙏
Inathibitishaje uwepo wa huyo Mungu?Concept ya energy inathibitisha uwepo wa Mungu, ndo maana nikakueleza uisome ili tuwe na mjadala mzuri.
Ushaliona kende la nyani linavotisha?Nguo ni matokeo ya dhambi. Mungu alikuwa ametuumba kwa utukufu bila kijifunika mavitambaa na timgekuwa timapendeza kama ndege, wanyama bao wote wapo uchi lakini hawsoni aibu Wala hatuwaonei aibu. Hivyo usije ukajinadibu na matambara unayojigunika gubigubi kuwa Mungu anapendezwa nayo