Halikua lengo la Mungu binadamu tujisitiri tupu zetu. Pongezi kwa shetani

baada ya kujijua kuwa wako uchi walivaa majani, ila Mungu alitumia ngozi ya mnyama kuwavika. kwa hiyo "kuvaa nguo" ni mpango wa Mungu, hata kama ulikuja baadaye.

kuna mambo mengi yalifuata baada ya anguko la mwanadamu pale bustanini ambayo pia ni mipango ya Mungu
 
“Bwana Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika."

— Mwanzo 3:21 (Biblia Takatifu)
 
Hata knowledge ilikuja baada ya kula tunda
yeah, Mungu alitaka tuishi rohoni, sio nafsini. "kujua jema na baya" ni kazi ya nafsi (maana akili hukaa kwenye nafsi). Mungu alitaka tumtegemee Yeye 100%, tusijitegemee.

YESU NDIYE MWOKOZI NA BWANA
 
Nature ipo juu ya uwezo wetu, ndo maana tukienda kinyume na kanuni zake tunasuffer.

Tunarusha ndege coz tunafuata kanuni za nature na sio kwa sababu tumeishinda nature.
Kuishinda nature ni nini?
 
Umesema tumeishinda nature, sasa tunarusha ndege angani, mi nikajibu haturushi ndege sababu tumeishinda nature, bali ni kwa kufuata kanuni zake.

Ulichouliza ulipaswa ukijibu wewe.
Kama ingekuwa hatuwezi kuishinda Nature, Basi hata baada ya kufuata hizo kanuni za nature, Bado tungekwama.

Wajapan walifanya kitu inaitwa Land reclamation, Yani unaisogeza bahari ili upate ardhi ya kufanya makazi, Na walifanikiwa.

Sasa hapo hawakuishinda nature ambayo ni bahari?
 
Mkuu umeongea points sana. Kwenye mavazi hapa ni ama mungu alikuja kujifunza kwa shetani. Maana hata Yesu alippzaliwa akavishwa nguo na hajawahi kukaa uchi.

Shetani aliona mbali sana tuvae nguo 😂😂
 
Kamwe huwezi ishinda nature, bali unaweza kwenda kinyume na kanuni zake ambapo matokeo yake hua ni kusuffer.

Wajapan walifanikiwa kuisogeza bahari bt nature imewaadhibu mara kadhaa kwa tsunami.
 
Mungu gani anamruhusu shetani amvurugie mipango yake?
Alimuweka adam na Hawa pale EDEN sasa ilikuwaje akaliweka li kiviruge shetan?
Alafu likafanya mambo yake akaja amepanic akaanza kuturushia ma laana utafikili tulimtuma atuwekee li shetan pale Bustani ya Eden
 
Ila bila nguo wale wanaojiita bonge la bwana wangetia aibu
 
Najaribu kuwaźa binadamu tungekuwa tunatembea watupu ingekuwaje, kwani sasa hivi tu kuna watu pamoja na kuvaa nguo bado wanatisha kwa maumbile yao
 
AMA KWELI KWENYE KILA WATZ 4, MMOJA NI MGONJWA WA AKILI.
 
Sahihi kabisa ukijiona john au muhamad sanaaa tembea uchi umkatae shetani na hila zake.
 
Hata knowledge ilikuja baada ya kula tunda
Na ni huyo huyo Mungu alisema mshike sana Elimu usimwache aende zake, sa bila shetani leo tungeshika elimu gani?
 
yeah, Mungu alitaka tuishi rohoni, sio nafsini. "kujua jema na baya" ni kazi ya nafsi (maana akili hukaa kwenye nafsi). Mungu alitaka tumtegemee Yeye 100%, tusijitegemee.

YESU NDIYE MWOKOZI NA BWANA
Una maanisha viumbe wa kiroho hawana nafsi? Pia hawana akili sababu akili hukaa nafsini?
 
Una maanisha viumbe wa kiroho hawana nafsi? Pia hawana akili sababu akili hukaa nafsini?
mtu ana hizi elements 3. mwili, nafsi na roho. roho Iko ndani kabisa. hapa ndiko anakokaa Mungu.

kwenye nafsi kuna
1. akili
2. utashi
3. hisia
 
mtu ana hizi elements 3. mwili, nafsi na roho. roho Iko ndani kabisa. hapa ndiko anakokaa Mungu.

kwenye nafsi kuna
1. akili
2. utashi
3. hisia
Umejibu ambacho sijauliza.

Nimeuliza viumbe wa kiroho hawana nafsi? Pia hawana akili coz zinakaa nafsini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…