Unajua huyu mkuu wa mkoa anajenga chuki sana kati ya wananchi na serikali hata lile zoezi lakuwatoa machinga mjini wakuu wote wa mikoa walishaagizwa na mheshimiwa Rais machinga watafutiwe maeneo wapangwe huyu mkuu wetu wa mkoa alichofanya yeye nikuwafukuza machinga mjini bila kuwatafutia maeneo vurugu zikatokea hakukuwa na sababu za kutumia nguvu kuwaondoa machinga wakati wenyewe machinga walisharidhia kwa kauli ya Mh rais kuondoka maeneo ya mjini watu wamechafukwa sana na hii serikali kwa maamuzi ya kijinga kama haya
Mgomo wa leo ni sababu za kipuuzi kabisa kwanini utume wanamgambo tena usiku kuwanyanyasa wafanyabiashara wanaofuata utaratibu wa kulipa kodi eti kisa kuondoa vibaraza ni utaratibu wawapi huu mkoa gani wanafanya haya