Siasa ndivyo ilivyo, naamini baba askofu wangu alipoingia kwenye siasa alijaandaa kwa jambo lolote.Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Laana ya Mungu haifanyi kazi kama unavyodhania .Laana itoke kwa mtu anayejifanya kuwa kama nabii wakati siyoNamshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
[emoji16][emoji16][emoji16] si mchezo.labda awe askofu wa Brazzers.com
Tokea muambiwe mtapelekwa Marekani Mmesha anza kuehukaNamshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Madrassa na Sunday school ni kitu kilekile bwashee......mtu hawezi kubadilisha kabila tu!Pia aliahidi kuzifanya madrasa kuwa sunday school! Mtu kama huyu anae provoke Siasa zenye mrengo wa kidini hafai kuwa kiongozi kwenye nchi isiyoendeshwa kidini!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mimi nimekutaja popote?
Madrasa ni kwa ajili ya elimu ya kiislam, au siku hizi madrasa zinafundisha bible??Madrassa na Sunday school ni kitu kilekile bwashee......mtu hawezi kubadilisha kabila tu!
Au unahisi umemquote nani hapa!!? Amka kutoka usingizoni mwamba!!Wewe umeliwa nani bwashee?
Mungu ni yule yule wa Adamu na Hawa!Madrasa ni kwa ajili ya elimu ya kiislam, au siku hizi madrasa zinafundisha bible??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila njia za imani ni tofauti, waaminivyo Waislam ni tofauti na waanminivyo Wakristo. Usitake kubadilisha content ya uzi. Sunday school ni tofauti na madrasa, kwani madrasa watoto wetu wanakwenda kujifunza Quran.Mungu ni yule yule wa Adamu na Hawa!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Dada Halima, hakuna laana yoyote utapata kutoka kwa mtumishi wa shetani, endelea kuweka kashfa zote wazi tena utabarikiwa mno na Mungu wa Kweli.Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ndio unaona tofautiIla njia za imani ni tofauti, waaminivyo Waislam ni tofauti na waanminivyo Wakristo. Usitake kubadilisha content ya uzi. Sunday school ni tofauti na madrasa, kwani madrasa watoto wetu wanakwenda kujifunza Quran.
Sent using Jamii Forums mobile app