JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Upuuzi mtupu,Gwajima ana utakatifu gani?Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Wajerumani waliuwa wayahudi ambao ni Taifa teule la Mungu,lakini leo Ujerumani ni nchi tajiri duniani mara 1000 ya bongo,
Watu wwmeua wayahudi sembuse kumtukana huyu mpuuzi Gwajima?!!nenda kasome acha kuriri,Kwanza katafute kitabu Cha Ben Carson isome,uone watu waliowacha Mungu,harafu wamesoma(Ben Carson ni dakitari wa Kwanza na bingwa wa kufanya operation ya kutenganisha watoto walioungana vichwa) walivyo na uelewa mpana.
Sio walokole nyie,Elimu kidato Cha nne,utaielewa dunia kweli?
Gwajima hata akitaka aoe mkeo na mwanao,lazima utapata vifungu vya kuharalisha tu.