Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Hii haikubaliki! Hawa ccm waondoke madarakan wanalitumia vibaya jeshi kwa maslahi yao ya kipumbavuJeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni...
Hatutaki video chafu bungeniAskofu Dr Rashid Gwajima njia nyeupe kuelekea Dodoma!
Minor"KUOGEZA DAU" halima mdee..
Daah! Wana kawe mnatabu kwelikweli, Mwandiko tu unasadifu madudu ya utendaji kazi Wake.
Hivi Polisi kuambatana naye kwenda kuona eneo linalolalamikiwa na kufanya tathmini ya maelezo ya Mlalamikaji na hali halisi ya eneo nalo ni kosa au tuseme polisiccmJeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi.
Hii ulishaiona?Halafu Igp anapeleka Vifaru Chakechake kulinda Amani
Mbona huko mbali sana! Hawa ni hapo hapo Kisutu na jela ni haya haya ya kila siku wakakutane na walio wabambika kesi huko ndani.Hao Polisiccm wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwaonea wapinzani kuwabambikia kesi wote mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague
ndio maana baada ya uchaguzi litafutiliwa mbali na kuundwa upyaHili jeshi ni la kipuuzi sana!
Wewe ni Polisi unajua kitu kinachoitwa Investigation/Forensic liacheni Jeshi lapolisi lifanye kz zake bila kuingilia ili kulinda wananchi na Mali zao, ni wajinga tu ndio wanaoweza kuilalamikia Jeshi la Polisi.Hivi polisi wa Tanzania ni walinda amani au wapoteza amani?
IGP ana vifaru??Halafu Igp anapeleka Vifaru Chakechake kulinda Amani
Mnatabu ni maneno mawili, mna + tabu! Hii inasadifu kwamba; Nyani haoni kundule!"KUOGEZA DAU" halima mdee..
Daah! Wana kawe mnatabu kwelikweli, Mwandiko tu unasadifu madudu ya utendaji kazi Wake.