Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Yaani watu kwa ushabiki hatari
Mtu ameripoti kuwa nyumbani kwake kuna uharifu unataka kufanyika polisi wanaenda eneo la tukio pamoja na mlalamikaji mnasema wamemkamata polisi kazi yao ni kufanya uchunguzi hasa eneo la tukio punguzeni basi uongo jamani
Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app