Uchaguzi 2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

Uchaguzi 2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.

Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi.

Hivi Polisi kuambatana naye kwenda kuona eneo linalolalamikiwa na kufanya tathmini ya maelezo ya Mlalamikaji na hali halisi ya eneo nalo ni kosa au tuseme polisiccm
 
Halafu Igp anapeleka Vifaru Chakechake kulinda Amani
Hii ulishaiona?
IMG-20201023-WA0022.jpeg
 
Hao Polisiccm wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwaonea wapinzani kuwabambikia kesi wote mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague
Mbona huko mbali sana! Hawa ni hapo hapo Kisutu na jela ni haya haya ya kila siku wakakutane na walio wabambika kesi huko ndani.
The Hague wacha wapelekwe hao vigogo
 
Hivi polisi wa Tanzania ni walinda amani au wapoteza amani?
Wewe ni Polisi unajua kitu kinachoitwa Investigation/Forensic liacheni Jeshi lapolisi lifanye kz zake bila kuingilia ili kulinda wananchi na Mali zao, ni wajinga tu ndio wanaoweza kuilalamikia Jeshi la Polisi.
 
Screenshot_20201024-170642.png
Screenshot_20201024-170642.png

Hii imeropitiwa na gazeti la Mwananchi Online..

Nilkuwa sijui kama kumiliki kinasa sauti ni kosa kwa mujibu wa sheria na kanuni za mamlaka ya mawasiliano (TCRA)..

Imetokea kwa mgombea ubunge jimbo la Kawe (DSM) kwa tiketi ya CHADEMA Bi Halima Mdee.. .

Alikwenda kituo cha polisi Mbweni kutoa ripoti kuwa kuna watu wanamfutilia kwa nia ovu..

Alipofika kituoni hapo akageuziwa kibao kuwa kuna jalada lake limefunguliwa hapo na wakamtaka waende na polisi kwake kwenda kufanya upekuzi wa nyumba yake..

Ndipo inasemekana akakutwa na vifaa hivyo vya kunasa sauti..

Haijulikani ni vifaa vya aina gani. Je, ni microphones, simu ama nini...

Source: Mwananchi.co.tz
 
"KUOGEZA DAU" halima mdee..

Daah! Wana kawe mnatabu kwelikweli, Mwandiko tu unasadifu madudu ya utendaji kazi Wake.
Mnatabu ni maneno mawili, mna + tabu! Hii inasadifu kwamba; Nyani haoni kundule!
 
Back
Top Bottom