Sema amevurumishwa anafikiri anaweza kwenda kuganya kampeni popote hata pale ambapo hajapangiwa na Tume.Wakati huohuo Polisi wamfanyia Kampeni Mhe Tundu Lissu huko Somanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema amevurumishwa anafikiri anaweza kwenda kuganya kampeni popote hata pale ambapo hajapangiwa na Tume.Wakati huohuo Polisi wamfanyia Kampeni Mhe Tundu Lissu huko Somanga
Sio Sisi sema wewe.Utampa wewe sisi wana kawe hatuna mpango naye!
Bado siku tano tu hutasema tena huo upopoma wako.Ukiona giza karibia kuna kucha.Nimeona umati Pemba, hayupo wa kuzuia nguvu ya umma.Tuna la kujifunza huko Pemba.
Tupo wengi ndiyo maana nikasema sisiSio Sisi sema wewe
kawe piga chini yule pastor fakeJeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi.
Kwa hiyo jirani yake asipangishe au?Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni...
Askofu Dr Rashid Gwajima njia nyeupe kuelekea Dodoma!Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni...
Usimtanie Mungu mjombaAskofu Dr Rashid Gwajima njia nyeupe kuelekea Dodoma!
Kikwete na Mkapa walimfahamu vizuri sana huyu binadamu ikiwa ni pamoja na jamii yake ya asili lakini waliamua kufumbia macho (funika kombe).Mkapa ameishatangulia mbele ya haki.Tumefikaje huku?
Hao Polisiccm wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwaonea wapinzani kuwabambikia kesi wote mara baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The HagueJeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi.
Sasa wameamua kutumia Polisiccm tena wa kiume kwenda kumpekua mwanamke kwa njia haramu za kishetaniSheikh Askofu Rashid ndio ana organize huu utopolo
Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo hovyo kuwaonea kuwabambikia kodi watu wajiandae kukabiliana mahakama ya ICC The HagueDada yetu alienda kuripoti polisi juu ya kuhofia usalama wake lakini polisi wakituo cha mbweni wamemweka chini ya ulinzi na wanaenda kupekua nyumban kwake hapo Mbweni...