Maendeleo yapi? Tanzania kuna maendeleo? Miradi yote ina 10% na ufisadi mkubwa na wanufaika ni CCM hao hao, Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji na sasa zimetumika kuubaka kuulawiti uchaguzi ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.Wana u hero gani sasa hao wapinga maendeleo.
Uchaguzi upi? Tanzania hakuna uchaguzi
Siku zote mwizi huiba mno hutengeneza mazingira ya kuaminika kwa kuiba vingi.Nawewe unaamini kabisa kwamba idadi ya kura hizo 150k ni halisi. Inakuingiaje akilini yani? Kwanini kila kituo mpishano wa ccm na chadema uwe 3x au zaidi?
Hawana ridhaa baraka za wapiga kura hao ni wateule wa wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm laana ya wapiga kura zitawaandama sana.Mkuu anayeapishwa Ni mmoja tu ambae ni rais hao wengine wakishakabidhiwa tu fomu za ushindi ndo inakuwa imeisha hivyoo Wanasubiri vikao vianze tu waingie mjengoni.
Na kwa upande wa rais hakuna atakae mzuia rais Magufuli kuapishwa.
Hivyo Basi itoshe tu kusema kuwa nchi nzima ndo ishakuwa ya kijani hivyoo.
Hivyo vyote ulivyo vitaja havipo kwa watanzania,lisu tangu atue nchini amekuwa ana hubiri huo utopolo ulioandika hapo juu vingekuwa vina tija kwa wananchi lissu alikuwa anaapishwa mapema hivi karibuni.Maendeleo yapi? Tanzania kuna maendeleo? Miradi yote ina 10% na ufisadi mkubwa na wanufaika ni CCM hao hao, Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji na sasa zimetumika kuubaka kuulawiti uchaguzi ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.
Ndio hivyo yaniSiku zote mwizi huiba mno hutengeneza mazingira ya kuaminika kwa kuiba vingi
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza ni mmojawapo wa wanufaika wa ufisadi unawezaje kujua chochote zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu kaburu Mkoloni mweusi, huna unachojua zaidi ya kuendekeza njaa zako, watanzania wa wapi unawasemea? au ni watanzania wa hapo unaposhinda ukivuta Bangi?Hivyo vyote ulivyo vitaja havipo kwa watanzania,lisu tangu atue nchini amekuwa ana hubiri huo utopolo ulioandika hapo juu vingekuwa vina tija kwa wananchi lissu alikuwa anaapishwa mapema hivi karibuni.
CCM imeisha na kuubaka uchaguzi huuNdio hivyo yani
Ndio nangojea wachimbe nioteshe mahindi. Maana niliskia patachimbika!si mlisema kitanuka,hizi post za kukubali kizembe namna hii mnaashiria kitu gani!!!!!
Na wewe ni watanzania wa wapi unaowasemea pumbavu wewe, kwani wao watanzania hawaoni kinachofanyika? Tuliwaambia hamuwezi pata 20% na maneno yametimia.Wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza ni mmojawapo wa wanufaika wa ufisadi unawezaje kujua chochote zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu kaburu Mkoloni mweusi, huna unachojua zaidi ya kuendekeza njaa zako, watanzania wa wapi unawasemea? au ni watanzania wa hapo unaposhinda ukivuta Bangi?
Zinaanza Albadiri kwanza kisha mengineyo baadaeNdio nangojea wachimbe nioteshe mahindi. Maana niliskia patachimbika!
Mimi nashangaa hawa watu “wanaibaje kura” kwa magap haya?Hiyo tofauti ni kubwa sana kwa kutolea visingizio vya kuibiwa kura au kuwepo kwa kura za feki.
Mburula swala ni udini hata kabla hajachaguliwa kugombea, mdee ulishaona utopolo wa hivyo?Kwani Mdee alikua muislam?
Ficha ujinga wako mkuu.
Wewe ndiyo pumbavu ulisema hakuna 20% kwa sababu uliiba kura mapema kwa kutengeneza mkaziweka ndani, hakuna maendeleo Tanzania vilivyopo ni vimiradi vya kifisadi ambavyo wewe ni mnufaika mkubwa ndiyo maana unatetea upumbavu wako na wenu, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM, kilichofanyika ni NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kushirikiana na CCM kupora majimbo na Nchi kwa njia haramu za kishetani, hakuna uchaguzi Tanzania kuna maigizo na vioja vya CCM kuihadaa Dunia.Na wewe ni watanzania wa wapi unaowasemea pumbavu wewe, kwani wao watanzania hawaoni kinachofanyika? Tuliwaambia hamuwezi pata 20% na maneno yametimia. Viongozi ni vioo vya jamii, lakini leo jamii inapoona serikali yetu imefanya kitu fulani then viongozi wa upinzani wanatoka mbele kupinga wananchi wanakuwa na mashaka na aina ya upinzani tulio nao.sugueni benchi kwanza watanzania wapate maendeleo ya kweli na sio porojo na mbwebwe za upinzani.povu ruksa.
Siwezi kulazimisha mku*-/*%du kula muwaWewe ndiyo pumbavu ulisema hakuna 20% kwa sababu uliiba kura mapema kwa kutengeneza mkaziweka ndani, hakuna maendeleo Tanzania vilivyopo ni vimiradi vya kifisadi ambavyo wewe ni mnufaika mkubwa ndiyo maana unatetea upumbavu wako na wenu, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM, kilichofanyika ni NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kushirikiana na CCM kupora majimbo na Nchi kwa njia haramu za kishetani, hakuna uchaguzi Tanzania kuna maigizo na vioja vya CCM kuihadaa Dunia
du kama hawaamini vile?????View attachment 1615667
We will always love you our heroes
Hakuna uchaguzi Tanzania bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani.Na wewe ni watanzania wa wapi unaowasemea pumbavu wewe, kwani wao watanzania hawaoni kinachofanyika? Tuliwaambia hamuwezi pata 20% na maneno yametimia. Viongozi ni vioo vya jamii, lakini leo jamii inapoona serikali yetu imefanya kitu fulani then viongozi wa upinzani wanatoka mbele kupinga wananchi wanakuwa na mashaka na aina ya upinzani tulio nao.sugueni benchi kwanza watanzania wapate maendeleo ya kweli na sio porojo na mbwebwe za upinzani.povu ruksa.
Ingekuwa enzi zile hawa wote ningeamrisha wakamatwe wapelekwe vijiji vya ujamaa, wakabidhiwe mwenyekiti wa kijiji ili wakajifunze uzalendo.View attachment 1615667
We will always love you our heroes