Wewe ndiyo pumbavu ulisema hakuna 20% kwa sababu uliiba kura mapema kwa kutengeneza mkaziweka ndani, hakuna maendeleo Tanzania vilivyopo ni vimiradi vya kifisadi ambavyo wewe ni mnufaika mkubwa ndiyo maana unatetea upumbavu wako na wenu, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM, kilichofanyika ni NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kushirikiana na CCM kupora majimbo na Nchi kwa njia haramu za kishetani, hakuna uchaguzi Tanzania kuna maigizo na vioja vya CCM kuihadaa Dunia