Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

Sasa hivi Makamanda wanehamishia Imani zao kwa Catherine Ruge

Hiki Chama huenda kinaongoza Barani Africa kwa viongozi wake kusaliti Misimamo yao ya awali

Ni kama vile kitalu cha Uwindaji tu
 
Halima Hoyeee
 
Uu uzi umemgusa Halima na wenzie,na kwasasa Halima ni Dada wa taifa.
Kila mtanzania mzalendo anahaki ya kumtetea Dada Halima na wenzie kwamsalahi mapana ya taifa.
 
Huu ujinga anawafundisha nani? Miaka yote mmekuwa mnatoka kwenye vikao bungeni, bunge lilikufa? Hata mkiwavua ubunge hao mademu zenu bunge litaendelea mbaki na kelele ya haramu ya uchaguzi hadi miaka mitano itapoisha.
 
Hayo ni yako ty. W2nye chama wana yao na Halima ananyake
 
mie nahisi ma ccm yatakuwa yamemloga kamanda mdee sio bure, ktk wanawake huyu ndiye alikuwa kamanda kwelikweli (kivitendo)...anafuatiwa kwa mbali na mama wa morogoro jina nani sijui alikuwa mbunge wa mlimba
Eti Halima karogea..atakauwa karogwa kwa pesa labda
 
Chadema haijawahi kuwa na nafasi kwa wasaliti wapuuzi , ccm inazo nafasi nyingi za uongozi , waache waende wakale bata , nafasi zao chadema zimekwishajazwa .
Hayo ni mambo yako hata hujaongea na wenye chama.
Halima kawavuruga loh!
 
mie nahisi ma ccm yatakuwa yamemloga kamanda mdee sio bure, ktk wanawake huyu ndiye alikuwa kamanda kwelikweli (kivitendo)...anafuatiwa kwa mbali na mama wa morogoro jina nani sijui alikuwa mbunge wa mlimba
Ruzuku ndo ilikuwa inampa ujasiri. Kukosa jimbo kumemfanya awe zaidi ya nyumbu.
 
Nani sasa afanye hivyo?
Kuna neno la kiingereza "Blackmail".Nahisi kuna watu wamekuwa "blackmailed".Si kwa hofu walizokuwa nazo usoni na hata ukaaji kama vile wana p,totally restless.
 
Kweli kabisa, ni salama kwa wapiga ruzuku tu
 
Haha Haha vile naipenda Tanzania yangu.
 
Daah! CDM ni imara sawa sipingi hilo lakini kampeni sio kigezo cha uimara wa chama kama nihivyo CCM ilijaza zaidi viwanja basi sioni sababu ya CDM kulalamika kuibiwa kura
 
Oyeee.

Halima juu,,,,,juu,,,juu zaidi.

Hata pole pole amesikika akiitikia kama wewe.

Inaitwa "poking of noses onto issues of no concern to yourselves." Kiswahili inaitwa, "kupiga chabo."

Hiiii bagosha!
 
Wanajikimu kwa kujiajiri, mbona sisi tumejiajiri?
Washazoea mteremko tayari. Mfano, huyo Miss. Kawe tangu amalize shule sidhani kama amewahi kuishi nje ya siasa. Nakumbuka walikuwa kwenye kampeni ya Ukimwi- ISHI baadae siasa. Wamezoea vitu laini, mtalaumu mpaka mtachoka.
 
Daah! CDM ni imara sawa sipingi hilo lakini kampeni sio kigezo cha uimara wa chama kama nihivyo CCM ilijaza zaidi viwanja basi sioni sababu ya CDM kulalamika kuibiwa kura

Ku-quote out of context ni jambo la aibu sana kwa mstaarabu yeyote. Au mkuu ulitaka kuona list nzima ya points za strengths za CDM?

Tambua utimilifu wa kauli kuwa CDM ni imara:

"There are no indispensable people in CDM, keeping note of graves which are full of indispensable people."

Umenisoma mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…