Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

Hizo pesa Trilioni 71 alipeleka kwenya akaunti zake binafsi za uswisi? very poor argument.Barabara zilizojengwa huzioni? umeme kila kijiji huuoni? Elimu bure huioni? Ndege huzioni? Vituo vya afya nchi nzima huvioni? nk wewe kipofu?
Hizo si alisema zimejengwa kwa fedha za ndani?
 
Na kila Marekani anadaiwa takribani milioni 143 za kiTanzania,,Hizi siasa za kutoa sound bites zinazotisha ,zinatusaidiaje?hivi developing country unataka usidaiwe,kama tunataka hivyo ,let's become a high tax state kama Britain
Hayati alijisifu kutekeleza miradi mikubwa kwa pesa zitokanazo na makusanyo ya kodi.
Sasa hilo deni la Trillion 28 limepatikanaje!!!

Najaribu kuwaza [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mbona haitoshi au mimi sijui hesabu! Tuko watz million 60+ Sasa m moja moja mbona ndogo au tunaipeleka kidorari..??
 
Mbona haitoshi au mimi sijui hesabu! Tuko watz million 60+ Sasa m moja moja mbona ndogo au tunaipeleka kidorari..??
Hiyo 60+ ni sensa ya mwaka gani ndugu, na tokea kipindi hicho bado watu watakuwa ni 60+?!
 
Mh. Kikwete wakati anatoka madarakani deni la Taifa la ndani na nje lilikuwa trilioni 41.. Hayati Magufuli mpaka anafariki deni la taifa Tsh. 71 trilioni.. ukichukua 71 ukatoa 41 unapata 30.. Miaka mitano ya Hayati Magufuli amekopa trilioni 30..
 
Usihofu. deni ndo kipimo cha ukomavu wa akili.
 
Jamaa wanapenda headings za kuzua taharuki tu,

Hapo hawajatuambia lilikua kiasi gani kabla ya awamu ya 5 kuingia na ilipoingia zimeongezeka ngapi, maana kasema limefika meaning limeongezeka.

Hapo kutaja figure kubwa tu bila maelezo ndio wabongo wanapenda.
 
Mwanzo tulisema wapinzani wanaturudisha nyuma kimaendeleo, tukakubali na watanzania wakawanyima kura, sasa tunasema wasomi ndio wanaturudisha nyuma ! Huku huu ndio ukiwa uchambizi wetu wa mambo ya uchumi. Tumuache jemedari wetu mama samia, mzalendo wa kweli, atengeneze Tanzania tuitakayo, tuache kujibabatiza uchambuzi uchwara kwenye mambo hata usiyoelewa.
 
Mh. Kikwete wakati anatoka madarakani deni la Taifa la ndani na nje lilikuwa trilioni 41.. Hayati Magufuli mpaka anafariki deni la taifa Tsh. 71 trilioni.. ukichukua 71 ukatoa 41 unapata 30.. Miaka mitano ya Hayati Magufuli amekopa trilioni 30..
Dah....Uzuri deni la JPM asilimia kubwa "halikuliwa na wajanja"....miundo mbinu inaonekana...mabarabara...majengo ya hospitali..masoko...nk nk.... JK alitumiaje hiyo mikopo?[emoji2960][emoji87][emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deni liko pale pale hizo tunanunulia viete
 
😹😹 Kwahiyo wewe ndiyo msomi mwenye IQ kubwa? Ukifanya follow-up Rahisi tu kwenye hotuba za Rais wa awamu ya tano utagundua kuwa asilimia kubwa ya miradi mingi ya maendeleo ilikuwa inatekelezwa kwa gharama kutoka vyanzo vyetu vya ndani vya mapato. Ikiwemo ujenzi wa Barabara na hata ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Mwl.Nyerere. sasa embu tueleze ni miradi ipi inayosema wewe, serikali ilitangaza kwamba inatekelezwa kwa fedha za mkopo either mkopo wa ndani au wa nje!!
 
Kweli tumeenda kujenga uwanja wa kimkakati Chato na mbuga ya nini sijui, tumenunua ndege zinazoingiza hasara toka zinunuliwe nk.

Kweli wasomi hawana maana kama CAG, bora tuwatumie mambulula kama nyie
 
Hizo pesa Trilioni 71 alipeleka kwenya akaunti zake binafsi za uswisi? very poor argument.Barabara zilizojengwa huzioni? umeme kila kijiji huuoni? Elimu bure huioni? Ndege huzioni? Vituo vya afya nchi nzima huvioni? nk wewe kipofu?
Umeme wa REA unaofadhiliwa na mabeberu au umeme gani? Acha kupanic tuna kiwanja pale Chato, na ndege pamoja na viete
 
Ila we wa wapi? Si tulitangaziwa na mwendazake kuwa anafanya kwa pesa za ndani, halafu thamani ya pesa kwa miradi inaendana? Assad alitolewa kinyume na sheria baada ya kusema trillion 1.5 hazijulikani matumizi yake, na ikulu ya Meko haikaguliwi baba. Acha ujinga tumepigwa wewe umekaa unatetea fisadi marehemu
 
deni la kurith mkuu, hata ukiondoka duniani kizazi chako kitalilipa tu - kweli hii si HAKI kabisa.

Mwendazake alikuta deni la bei gani? na kalifikisha kuwa gani? Maana alituaminisha kwamba kila Project ni HELA ZA NDANI tena cash.
Lakurithi kivip kwamba lakikwete?
 
Vp zile Noah zetu jamani........kabla hatujalipa kwanza hiyo wanu M Kuisaidia gavamenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…