Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Yaan vijana wa CCM mnadhan kipindi cha campaign kinatosha kujisafisha?? Kwa taarifa yenu ndo mnazid kudhaliliika na kupoteza ushawishi, sasa endeleeni kujisajili JF kwa wingi ili mje kuwatetea wapuuzi wenu wa chama, mnapoteza tu mda, sana sana mnaiongezea JF mapato ya mda.
 
wewe boya tokaa mwache Gwajima wa watu afanye kazi kikamilifu katika Taifa
 
Hili jike dume ni jambazi na hafai
 
Halima kawe tumemchoka saaana hatumtaki kabisa yaan

Yaan bora nimpigie kura gwajiboy
 
Halima chokoooooo uongozi wako hatuja ona ulicho fanya wewe timuka tu
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Halima pumzika wavuta sikuizi wanaakili hatukupi kura wakati huu.
 
Nyie maccm wajinga Sana mgejua mchakato wa kuitumia hela ya mfumo wa Jimbo msingeandika upuuzi
 
Kwa sasa Halima hana jipya Gwajima ndiyo habari ya town.
 
wewe mbwa ulitutesa sana, mwache Gwajima mtu na watu wake Kawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…