Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Maendeleo ya vijana gwajima
Maendeleo ya wanawake gwajima
Maendeleo ya watoo na wazee gwajima
Mikopo kwa wajasiriamali ni gwajima
Afya bora ni gwajima
Gwajima,gwajima,gwajima,gwajima
mwambie atengeneze walau kanisa moja kwanza
 
Kile kitabu umeandika kujidhalilisha tu maana n uongo mtupu tumekisoma vzurii hakuna heshima yoyote uliyoiletea kawe bila aibu unaandika Kawe inaitaji Heshima Heshima labda ya Wizi na ufisadi
 
Gwajima oyeeeeeee halima ashuke chini mda wake umeisha.
 
Wana Kawe tulikosea sana kumpa huyu jambazi Halima ni bora tusingekuwa na Mbunge tu.
 
s
sauti ya zege tunamawita kikolomaaaaa. tuachie kawe yetu
 
Dume jike akiwa jukwani kama mtu vile kumbe tapeli wa maneno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bwashee naona umepata kibarua ,hongera bwana fanya bidii sasa uache kulala kwa shemegi yako ,vyumba mbagala unapata hata vya elfu 20 kwa mwez,cha giza lakini
 
Account zooote hizi ni mpya zote, zina mwez au miezi miwili

Wameshashauriana huko kwenye groups zao za WhatsApp wanakuja vamia huku

wasted sperm's

Account zooote hizi ni mpya zote, zina mwez au miezi miwili

Wameshashauriana huko kwenye groups zao za WhatsApp wanakuja vamia huku

wasted sperm's
Kijana tulia unahisi watu wote wana akili za kushikiwa kama zako kawe tumeamua kwenda na mzee baba Gwajima anatosha
 
Miundo mbinu mibovu mpaka leo kumbe hili sauti zege jike dume limekula hela zetu
 
CCM mnabahati sana, kitabu hicho mmletewa kabisa kumbe kina madudu mengi. Halima hapa usiwalaumu hata CHADEMA wameishajua mchezo wako
 
Mwenyewe anajiita sauti ya zege kumbe wajumbe walimlisha chura mweusi sasa hivi anakoroma tu.
Gwajima hoyeeeeee
Halima piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…