Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Halima mdee mpaka hapo sisi wanakawe tumeshakuchoka kabisaa
Usitegemee kura zetu tena kwako
Huyo por... boy kawalipa ngapi leo, maana mnapost na kujibu wenyewe. Huyo mtu wenu wakatoliki hatumtaki, waislamu hawamtaki kwa tabia zake chafu, sasa mnaweza kuaona taasisi zenye wafuasi wengi namna hiyo ziko kizo kinyume naye. Ninyi kuleni hela yake lakini hakuna namna ya kushinda. Huo ndo ukweli mchungu.
 
Mdee hafai na hatumtaki kawe mtu mwenye ahadi za uwongo na mtu anayehujumu uchumi wetu hatumtaki.....sasa hivi tunataka kwenda na Gwajima na CCM

Sasa kelele za nn si usubiri siku ya kupiga kura uende ukapige?
 
Halima kajiona legend mwenyewe akajititimua kuandika kitabu kumbe utopolo mtupu hakuna kilichofanyika wananchi wanalia shida barabara mbovu maji safi hakuna dah
 
Mdee hafai kabsa kuwa mbunge wa kawe wanakawe tumchague Gwajima wwkati huu
Tunatambua wanachama wa CCM takribani 60% wanasema watamchagua Tundu A Lissu kuwa Rais wa JMT katika uchaguzi mkuu 2020.

Taarifa Hizi ni kutoka kwa makada nguli wa Chama Cha Mapinduzi. Tutegemee ushindi wa kishindo kwa Tundu A Lissu come october 28,2020
 
kisheria ukitumiwa kasma halafu ukashindwa kuzitumia ni mis appropriation of funds,
 
Tumeshtuka sasa ivi na hawezi kutubabaisha tena, tunasema ivii Gwajima tunampa kurea zetu na Bungeni anaingiak

Hata kuandika ujui utaweza kupiga kura kweli?

Kurea ndio madudu gani,?
Anaingiaki ndio nini?
 
Aka kamama hakafai kabisa tunakwenda na Gwajima

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 

..Fedha za mfuko wa jimbo hazitunzwi na mbunge.

..Mkurugenzi wa Halmashauri ndiye anayetunza fedha hizo.

..Mbunge na Madiwani kazi yao ni kuchagua miradi ambayo itahudumiwa na fedha za mfuko wa maendeleo.

..Baada ya maamuzi ya mbunge na madiwana, mkurugenzi hutoa fedha kupeleka kwenye miradi baada ya kuthibitisha kwamba kazi imefanyika.

..Kama unahisi fedha zimepotea, basi unapaswa kumshika shati Mkurugenzi wa Halmashauri na siyo mbunge.

NB:

..Tatizo lenu vijana wa CCM hamsomi. Na bahati mbaya wenye uelewa wamegoma kuwaelimisha, na ushahidi ni jinsi mlivyoachiwa uwanja mdanganyane.
 
Halima hana lolote tena kawe alituambia anatengeneza barabara lkn mpaka leo hamna barabara
 
Sema sauti zege kweli wewe ni hujielewi unaiba fedha za waliokupigia kura ama kweli masikini akipata ngoja wanaKawe tukufundishe namna ya kuishi na watu
 
sikuzote mpumbavu mjibu sawasawa na upumbavu wake 😎😎😎😎😛
 
Hahahaha [emoji23] sauti la zege unatia huruma sana safari hii hupati kitu Kawe hata ufanyeje hupati kwa maana ya hupati
 

Sasa wakina juma juma wao wanajua ela za mfuko wa jimbo anapewa mbunge zote anaendanazo nyumbani kwake
 
Kakitabu kake kanaonyesha kafanya mambo meengi sana kawe lakini ni uwongo mtupu sisi wanakawe hatupo tayari tena kudanganywa na huyu bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…