Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Gwajima alijaza fomu ya maadili nyumbani kwake badala ya kuja mbele ya msimamizi wa uchaguzi hivyo hana sifa ya kugombea

ukatili walioufanya ccm mwaka huu ni kumteua gwajima apambane na halima mdee ni ukatili wa kijinsia huyu dada kafanyiwa bila kujua..
Wewe kichaa kwani Gwajima hata wakiiba hazitamsaidia kushinda
 
Nasikia jumapili inayokuja askofu atafufua maiti 2 tena ukiacha ile ya kwanza.
 
kama huyo Halima hajaweka pingamizi rasmi kaandika mtandaoni kufurahisha baraza tu, it's rubbish.

that's why Tundu Lissu remains a thousand miles ahead of every goddamn politician in this country!
 
Sasa atathibitisha vipi aliijaza nyumbani ?Na kama aliijaza akiwa kwa msimamizi wa uchaguzi tarehe hiyo ?Halima Mdee hapa kachemsha.
Kwani nyumbu huwa akili mnaziweka wapi?? Unajua sheria za uchaguzi zinasemaje hasa kwenye ujazaji hizo fomu?!! Unajua ni kwanini hiyo sheria ilibadirishwa? Ndio tatizo la waafrika kutunga sheria kwa kumukomoa mtu!! Sema hayo yamemkuta wa ccm, litaisha tu,
 
Kweli wee akili zako ni sawa na kinyesi changu ..fomu ya tamko la mgombea linajazwa mbele ya msimamizi wa uchaguzi siku ya kurejesha fomu ambayo ni trh 25, haya hapo juu kajaza trh 20 ..hv hapo Gwajiboy anaponaje???
Do you believe in miracles? Yesu anaweza.
 
Haya makosa wangefanya upande wa pili tungeona kazi ya Tume. Mpaka wanampitisha hawakuona.
 
Tulimwomba tulimsihi tukalalamika @halimamdee aje jomboni hakuja wala kutujali. Sasa atauona mpilipili na maua yake. Dharau mbaya sana duniani..
 
HaLafu haina picha

Jr[emoji769]
 
Shetani anawekwa hadharani!
 
We nawe mjinga tu Kama wajinga wengine nani amesema muda imeisha wa mapingamizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…