GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.
Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.
Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Hata mimi ningekuwa yeye nisingetaka kugombe tena miaka kumi yote haujafanya kitu unaenda kuwaambia nini wananchi wako
Ninaunga mkono hoja kwasababu inaonekana alikuwa amekubali matokeo kuwa ameshindwa
Kama mtu hakuwa tayari kwa hiari yake atawezaje kuleta maendeleo hii sio sawa kabsa inabidi tuchague kiongozi ambaye yuko tayar kufanya kazi bila kulazimishwa
Halima hukuwa tayari kututetea sisi wanaKawe ndiyo maana hukutana kugombea sasa wanaKawe tutakupaje kura zetu mtu ambaye hakuwatari kwaajili yetu
Halima kawe alishaitosa miaka mingi Sana Ila yupo yupo tu
Halima alikuwa anafahamu alichotutendea wana Kawe ndiyo maana hakutaka kabisa kugombea tena na nibora asingegombea tu huyu tapeli.
Hivi nyie jamaa huwa mnaitana.Basi hatuna haja ya kumsikiliza mtu ambaye alishatuangusha, sikio letu lote lipo kwa Gwajima
Maana kila uzi unamhusu H.M lazima mje kureply, halafu mnakuwa mnafuatana.