Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Halima.jpg

"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.

Chanzo: Dar Mpya
 
Hakuna vita wakati Mzee Mdee anajulikana n msaliti tu.Na pia kwa ss c mwanachama w chadema. Akizungumza zaidi ataonekana n anatumiaka na CCM.

Vitabu vya dini vinasema usimtegeme binadamu wao wakaona wajanja kipindi cha mwenda zake. Mbunge anaapishiwa garage?
 
Hakuna vita wakati Mzee Mdee anajulikana n msaliti tu.Na pia kwa ss c mwanachama w chadema. Akizungumza zaidi ataonekana n anatumiaka na ccm.
Vitabu vya dini vinasema usimtegeme binadamu wao wakaona wajanja kipindi cha mwenda zake. Mbunge anaapishiwa garage?
Povu la

images (68).jpeg
 
🔴 Maisha ndivyo yalivya

🔴 Unachukua katoto cha simba kalikotelekezwa kadogo, unakatunza , unakapa maziwa , kanakuwa urembo wa nyumba ,nnamaita petty kanakuwa fadhila yake kanakutafuna

🔴 Unamchukua ndugu yako choka mbaya kijijini, unamleta mjini unampa mradi wako anakuhujumu, anakufilisi na anaanza kujijenga na kukufanya uwe adui yake hadi nyumbani

🔴 Unamchukua demu wako choka mbaya, unaamua kumsomesha au kumfungulia biashara ili msaidiane kimaisha lakini baadaye anakutana na majitu mengine, anakugeuka na kuchukuliwa na majamaa mengine

🔴 Unamchukua mdogo wako unamfundisha maisha, unamsimamia , baada ya kuujua mji anaanza madharau, alikuwa anakusalimia brodher shikamoo sasa anakutaja kwa jina lako kitu ambacho zamani hakikuwepo
 

"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu,hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.

Chanzo: Dar Mpya
Mbona hajakana kuhusu kukutana Nairobi + Magereza?
 
Hakuna vita wakati Mzee Mdee anajulikana n msaliti tu.Na pia kwa ss c mwanachama w chadema. Akizungumza zaidi ataonekana n anatumiaka na ccm.
Vitabu vya dini vinasema usimtegeme binadamu wao wakaona wajanja kipindi cha mwenda zake. Mbunge anaapishiwa garage?
Tangiapo anatumika na CCM
 
Katika kitu ambacho CCM inawapiga bao upinzani ni uwezo wa kutunza watu ! Si kwamba hawakwaruzani bali misingi ya chama inatambua kuwa chamacha siasa chochote msingi wake ni watu .

Leo hii unampiga chini mdee! Je unakumbuka sakata la Makamba na Kinana au lile la Nape au lile la Lowasa hawa wote hawakuwahi kufukuzwa CCM kwakuwa “Mtu si Mbwa”

Kuna wanachama wengi wenye uwezo pengine hata kuzidi wakina Mdee lakini Halima Mdee ni mmoja na nguvu iliyotumika kumtengeneza haiwezi kuachwa iende bure .Huhitaji kuwa mbobezi wa siasa kujua kuwa Mdee akienda kokote akasimama na mwanamama au mwanasiasa yoyote ataleta ushindani kwani “There is no bad publicity” .

CDM lazima ijifunze kutunza watu hii trend imeanzia kwakina Zitto na wengine ni udhaifu wao mkubwa na inawachelewesha kupata walau wabunge 100 .
 
Huyu aachwe tu, naona anamtafuta wa kufa naye, baada ya kila aina ya ujinga aliofanya, anataka kumgeuzia Mbowe kibao aonekane mbaya.

Labda nimuulize kidogo, ikawaje akaenda kuibusu picha ya Magufuli akiwa marehemu licha ya madhambi aliyomfanyia jimbo la Kawe kwenye ule uchaguzi?

Ni ipi siri ya ule upendo wake, atuambie alifanyiwa nini na Magufuli sirini mpaka akajikuta anampenda wazi hadharani?
 
Back
Top Bottom