Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Waliapishiwa bar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Mdee yupo sahihi na ndiye anapendwa na watanzania kuliko makajanja yenu ya NGO iliyokufa. Kwa taarifa yako Mdee sasa ni maarufu kuzidi huyo mwenyekiti wenu gaidi wa hicho ki NGO chenu, na tena asubiri DPP atalifufua file afungweHakuna vita wakati Mzee Mdee anajulikana n msaliti tu.Na pia kwa ss c mwanachama w chadema. Akizungumza zaidi ataonekana n anatumiaka na ccm.
Vitabu vya dini vinasema usimtegeme binadamu wao wakaona wajanja kipindi cha mwenda zake. Mbunge anaapishiwa garage?
Hata kama msingi wa siasa ni watu, kukaa na watu wasiofuata sheria na taratibu za vyama vyao ni sawa na kumkumbatia nyoka, atakugonga any time.Katika kitu ambacho CCM inawapiga bao upinzani ni uwezo wa kutunza watu ! Si kwamba hawakwaruzani bali misingi ya chama inatambua kuwa chamacha siasa chochote msingi wake ni watu .
Leo hii unampiga chini mdee! Je unakumbuka sakata la Makamba na Kinana au lile la Nape au lile la Lowasa hawa wote hawakuwahi kufukuzwa CCM kwakuwa “Mtu si Mbwa”
Kuna wanachama wengi wenye uwezo pengine hata kuzidi wakina Mdee lakini Halima Mdee ni mmoja na nguvu iliyotumika kumtengeneza haiwezi kuachwa iende bure .Huhitaji kuwa mbobezi wa siasa kujua kuwa Mdee akienda kokote akasimama na mwanamama au mwanasiasa yoyote ataleta ushindani kwani “There is no bad publicity” .
CDM lazima ijifunze kutunza watu hii trend imeanzia kwakina Zitto na wengine ni udhaifu wao mkubwa na inawachelewesha kupata walau wabunge 100 .
Yaani Mdee tunamuomba aje CCM tulisongeshe. Bulaya na wengine wote waje CCM. Mdee ni hazina na ni kichwa sana kuzidi mr zeroKatika kitu ambacho CCM inawapiga bao upinzani ni uwezo wa kutunza watu ! Si kwamba hawakwaruzani bali misingi ya chama inatambua kuwa chamacha siasa chochote msingi wake ni watu .
Leo hii unampiga chini mdee! Je unakumbuka sakata la Makamba na Kinana au lile la Nape au lile la Lowasa hawa wote hawakuwahi kufukuzwa CCM kwakuwa “Mtu si Mbwa”
Kuna wanachama wengi wenye uwezo pengine hata kuzidi wakina Mdee lakini Halima Mdee ni mmoja na nguvu iliyotumika kumtengeneza haiwezi kuachwa iende bure .Huhitaji kuwa mbobezi wa siasa kujua kuwa Mdee akienda kokote akasimama na mwanamama au mwanasiasa yoyote ataleta ushindani kwani “There is no bad publicity” .
CDM lazima ijifunze kutunza watu hii trend imeanzia kwakina Zitto na wengine ni udhaifu wao mkubwa na inawachelewesha kupata walau wabunge 100 .
Dj ni msanii sanii sana , tangu apange njama za kumuuwa Sabaya simwamini kabisa
Mpeleke Wewe sasa unayejua aliua, una haki hiyoSi alipelekwa mahakamani mkaanza kulialia eti mbowe sio gaidi.
Filim ndo nn.... anyway nadhan itauza sana.... ni wazo jipya ambalo halikjwahi kudhaniwa kutokea... kila kitu kinawezekana chini ya jua...Halima umegamble umeLost shut the f**k...usitengeneze filim ya Senene kamla Mhaya.
Makapi yote toka Chadema huwa mnayapokea, hata wale wanaoonekana mazezeta wakiwa Chadema, wakija CCM hugeuka genius.Yaani Mdee tunamuomba aje CCM tulisongeshe. Bulaya na wengine wote waje CCM. Mdee ni hazina na ni kichwa sana kuzidi mr zero
Mdee na Bulaya ni Gold, Oil Safi kabisa, tunawakaribisha. Huo mtanange 2025 ni balaaMakapi yote toka Chadema huwa mnayapokea,
Duh usaliti ulikuwa deep kiasi hiki. Halima hafai.Huyu aachwe tu, naona anamtafuta wa kufa naye, baada ya kila aina ya ujinga aliofanya, anataka kumgeuzia Mbowe kibao aonekane mbaya.
Labda nimuulize kidogo, ikawaje akaenda kuibusu picha ya Magufuli akiwa marehemu licha ya madhambi aliyomfanyia jimbo la Kawe kwenye ule uchaguzi?
Ni ipi siri ya ule upendo wake, atuambie alifanyiwa nini na Magufuli sirini mpaka akajikuta anampenda wazi hadharani?
Naunga mkono hoja!Halima umegamble umeLost shut the f**k...usitengeneze filim ya Senene kamla Mhaya.
Umewahi kumwamini???Dj ni msanii sanii sana , tangu apange njama za kumuuwa Sabaya simwamini kabisa
ni hulka ya binadamu baada ya kujiona amepata uwezo hudharau hadi wazazi au waliomkuza... wee mzee halima umewaponza wenzio kwa tamaa zako
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu,hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.
Chanzo: Dar Mpya
Halafu serikali inamwangalia tu[emoji23][emoji23]Mbowe kaua wangwe